Recent content by Nebuchadinezzer

  1. Nebuchadinezzer

    Anuani za makazi ni mradi wa wizi usio na maana, ilibidi waanze na upimaji wa ardhi kwanza

    Hii nchi ina viongozi wa hovyo sana. Akili ndogo unategemea matokeo makubwa!
  2. Nebuchadinezzer

    Hayati Magufuli alipo-deal na Kenya alionekana anaharibu mahusiano, mmeona sasa?

    Pinga hoja kwa hoja sio maneno ya kwenye kanga kama shoga. Au mwenzangu we punga? Kama ndugu zenu America?
  3. Nebuchadinezzer

    Hayati Magufuli alipo-deal na Kenya alionekana anaharibu mahusiano, mmeona sasa?

    Wewe unadhani Urusi kuingia vitani 2022 ni mpuuzi eeh, vita ya Marekani na Nchi za Kiarabu miaka hii ni diplomasia eeh? Acha upumbuji. Kama hujui tulia. Vita ndio nyia pekee ya kuleta heshima.
  4. Nebuchadinezzer

    Hayati Magufuli alipo-deal na Kenya alionekana anaharibu mahusiano, mmeona sasa?

    Mzaha mzaha, mbuzi Kampanda mamaye. Ile kauli "mtanikumbuka ilikuwa ni kauli ya kinabii na sio ya kisiasa. Nathaniel sasa kila mtanzania ameanza kuelewa kwanini JPM Ali deal na wakenya effectively. Hawa Wakenya sio majirani, ni maadui zetu, hawafai kuchukuliwa kama majirani. Suala la...
  5. Nebuchadinezzer

    Why now? Why now?

    1. Sabaya kuwa huru.. Why now why now 2. Kesi ya Mwijaku kufufuliwa Why now why now 3. Wimbo wa Diamond kufungiwa Why now why now 4.Ubadhilifu wa Bilion kadhaa , Mkurugenzi kaamishwa miezi...Ati Leo imeibuliwa.. Why now why now 5. Ufisadi MSD Why now... MAJIBU.. 1. Ruby zetu...
  6. Nebuchadinezzer

    Serikali shughulikieni wauza madawa...hawa ndio chanzo cha panya roads.

    Kiini cha PanyaRoads ni madawa ya kulevya...solution kuua wauza madawa hii ina maana kuua wengi wa wadhamini wa CCM au Royal Tour. Na huu ndio ukweli...
  7. Nebuchadinezzer

    Rai yangu kushughulikia Panya Road

    Panya roads inabidi wapigwe wakamatwe ila wasiuwawe. Kumbukeni kwa hali ilivyo nchini hawa watoto ni wakuwaonea huruma. Wenzao wazazi wao wanawatimizia mahitaji yote muhimu, chakula, malazi na mavazi, wao wanajitegemea kwa sababu baadhi yao hawana wazazi, au maisha magumu nyumbani. Wale ni...
  8. Nebuchadinezzer

    Africa tulizeni Mishono Kuhusu Yanayoendelea Ukraine.

    Wabongo wengi kama walivyo Waafrika ni wajuaji mdomoni lakini kichwani empty. Unakuta mtu anaelezea namna gani Ukraine itashinda vita utafikiri hiyo akili anayo. "Mara Ooh kosa kubwa la Urusi nikupeleka vikosi vingi Ukraine, " Mtu mwenyewe anaeongea hivyo, Nyie nchi yenu kila siku vitu...
  9. Nebuchadinezzer

    Waathirika Wana-Mara Bilioni Moja Wagawane NEMC

    Nianze kwa kuseema, Madhara yaliyotokana na sumu kali ndani ya mto Mara ni makubwa sana. Yataathiri kizazi hiki na kijacho. Tutegeme kuona kesi za kansa zikizidi kushamiri kanda ya ziwa siku za Usoni. Mwanzo serikali ilisema hali ya hewa ndio iliyopelekea maelfu ya samaki kufa ndani ya mto...
  10. Nebuchadinezzer

    Swali gumu aliloulizwa Rais Samia nchini Marekani

    We unajua ufaulu wa Kibatala au unaongea tu ili utetee GPA yako ya 2.0? Usidhani hao kina Lipumba ni empty headed la hasha, hao njaa tu ndio zinawasumbua ila kichwani wako vizuri mno.
  11. Nebuchadinezzer

    Swali gumu aliloulizwa Rais Samia nchini Marekani

    Vyuo vyote vikubwa duniani kama Havard na the likes huwezi kuta wanachukua GPA ndogo kama ya 3.4 na the likes...hata walimu wako wa chuo wana GPA kubwa ndio maana tumewaamini. Hata wachungaji wako kanisani unaowahusudu wamefundishwa na GPA kubwa.
  12. Nebuchadinezzer

    Swali gumu aliloulizwa Rais Samia nchini Marekani

    Nimefuatlia interview kadhaa anazofanya Rais wetu wa KIKATIBA nimegundua wazungu wanatudharau sana! Kwanza mama Samia kaanza kwa kusema amefanya makubwa sana ikiwemo kutoa ajira kwa sekta ya ualimu na afya (Nikagundua kumbe ajira za hivi karibuni zimetolewa kwa sababu maalum ya kufanya...
  13. Nebuchadinezzer

    Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

    Wakuu, Nipo hapa kwenye duka la vinywaji napata soda yangu pendwa ya Pepsi... shemeji/wifi yenu anapata Fanta. Mkononi na buku... nikiwa naendelea kupata kinywaji, anakuja mteja mwingine hapa anaulizia anaambiwa 600..hii imekaaje? Kama kuna mwanaJF yyte maeneo ya hapa Tandika mkabala na Tigo...
  14. Nebuchadinezzer

    Wanajaribu kumchafua Hayati Dkt. Magufuli lakini hachafuki!

    Leo alfajiri nilipokuwa napitia vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali, nimekutana na kichwa cha habari kilichonistajabisha sana...eti "Ufisadi Mkubwa Awamu ya Tano" Kinachinishangaza ni kuwa "watendaji wakuu wa awamu ya tano, ni wale wale wa awamu ya sita" wakiongozwa na Bibi Samia...
Back
Top Bottom