Recent content by nebu opi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Vita za Iraq vs. Iran na Gulf War

    Halikuvunjwa ispokuwa lilirudishwa nyuma kutoka katika aridhi ya Kuwait nandolilikuwa lengo lamision hiyo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Katika uzi huu nitajibu maswali ya msingi kuhusu mambo mbalimbali kama Mungu, imani, sayansi, n.k. kutoka kwa watu wanaomaanisha, karibu

    Minanina swali moja hivi nchi yauzuri iliyotajwakatika bibilia inamaanisha kwasasa ninchi gani? Naje? Unaweza kunifafanulia habari zipi zitokazo mashariki zitamfadhaisha mfalme wakazikazini habari nihabri gani hizo?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Je, Russia hana ubavu kama Iran?

    Ukiseriuos kweli heti Russia Haina nguvu weeeeeee!!!!hujui Russia vizuri
  4. N

    JamiiForums Tanzania Trump aisifia Iran asema iliipiga Israeli kwa nguvu sana.

    Kwamimi nahisi hii technology niyamrusi kabisaa make haya makombora yalitisha aisee
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Israel wasema kwa kitendo cha Iran kupiga kituo chao kikuu cha utafiti, Imeirudisha nyuma Israel miaka kadhaa nyuma kiutafiti

    Aisee muajemi kachafukwa hasa sikutegemea atafanya maajabu haya
  6. N

    JamiiForums Tanzania Top 10 ya Makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania

    Nando kabila pekee linalopiga kazi ngumu nahalitegemei kulishwa nachakula chakutoka sehemu nyingine. Kwahiyo wanahaki yakula make walimaji niwao
  7. N

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Hamna kitu hapo wakipeleka na Russia nae atapeleka kumbuka Russia hawezi kumuona iran akianguka wesubiri uone
  8. N

    JamiiForums Tanzania Be forward special thread karibu uagize magari Toka nje ya nchi

    Niwekee Nissan extrail newmodel
  9. N

    JamiiForums Tanzania Urusi yasema viwanja vya ndege vyote mjini Moscow vimefungwa baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani

    Siyo kweli kama marekani ikiamua kujitoa kweli ujue Ukraine yote inaondoka kumbuka majuzi majuzi tu ilijitoa kwa siku chache mambo yalianza kumwendea mrama ukraine
  10. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Mkakamavu na Shupavu Utafikiri Ametoka Kumaliza na kufuzu Mafunzo ya Ukomandoo

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza tangu ipate Uhuru, Senegal imeanza kuzalisha na kusambaza mafuta yake yenyewe! Tani 90,000 zazalishwa

    aisee senegal itakuwa mbali kama itaenda hivi mafuta hayadanganyi yakisimamiwa vizuri
  12. N

    JamiiForums Tanzania Miaka hio upo home, ni tukio gani mfanyakazi wenu wa ndani alifanya tukio mkabaki kucheka, kuhuzunika au kukusarika?

    Mtoa maada unaonekana wewe nimboga Saba usidhani kila mji ilikuwa namfanyakazi wandani
  13. N

    JamiiForums Tanzania DRC iwaangukie "mabeberu" wakubwa wa Magharibi kumaliza vita nchini kwake, mabeberu wanahitaji kubembelezwa kidogo tu na kuheshimiwa kumaliza mgogoro

    Tshekedi anatakiwa amwombe Putin tu awasambaratishe tu hao waasi .lkini kwamataifa ya magharibi ningumu mnooo.russia Hana urafi huo warasilimali
  14. N

    JamiiForums Tanzania Dola (Dollars)yaadimika tena mtaani, Ukienda Benki hata Mia hupati

    Mambo yamerudi mlemle aiseee
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

    Kumbe nchi ya uzuri ilyotabiriwa kwenye maandiko yabiblia ndo itakuwa marekani? Ambayo itatekwa nakukaliwa namfalme wakazikazini cjui itakuwa taifa gani? Mwenye ufafanuzi anifafanulie kwakina
Back
Top Bottom