Recent content by NEBASA

  1. NEBASA

    JamiiForums Tanzania Usiwachukie waliofanikiwa kuliko wewe.

    Mtu akikuzidi maarifa au mafanikio fanya nae kazi usitake kushindana nae,moja ya kosa ambalo watu wengi wanafanya ni kuwachukia watu ambao wapo juu kuliko wao jambo ambalo linapelekea kuendelea kubaki nyuma na alie fanikiwa anaendelea kufanikiwa. Ukimpenda mtu alie fanikiwa kwanza utakuwa karibu...
  2. NEBASA

    JamiiForums Tanzania Pesa na connection vina mchango wa kutengeneza jamii za hovyo

    Hili wimbi ambalo limeshika kasi nchini Tanzania miaka ya hivi karibuni kwamba ili upate nafasi mahali lazima uwe na mtu anae kujua au uwe na chochote kitu limekuwa likitengeneza jamii ya hovyo kila kukicha. Ndio watu walioko kwenye nafasi za uongozi kwenye nchi yetu hawapo pale kwa mfumo...
  3. NEBASA

    JamiiForums Tanzania Daktari Bingwa: Kuna kilevi kwenye kinywaji cha “energy”

    Nyeto nayo ina kilevi au hayo madawa maana nayo ina addiction?
  4. NEBASA

    JamiiForums Tanzania Wema ni chanzo cha matatizo, roho mbaya ni kinga dhidi ya majanga

    Panda mti usiotegemea kutumia kivuri chake, saidia mtu usitegemee kulipwa chochote ukitegemea kulipwa ukafanyiwa vibaya mwisho utajilaumu tuu
  5. NEBASA

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya ajira ilivyo sasa napendekeza shuleni na vyuoni lifundishwe somo la connection

    Sawa mkuu ndo maana nasema watu wafundishwe ili wajue hicho unachosema
  6. NEBASA

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya ajira ilivyo sasa napendekeza shuleni na vyuoni lifundishwe somo la connection

    Nimejaribu kuwaza hii issue ya connection now days imekuwa ikipewa kipaumbele kikubwa sana kwenye maisha ya sasa, mm nashauri basi mashuleni na vyuoni wanafunzi wafundishwe namna ya kupata hizo connection maana kwa ukweli usiopingika kwa sasa connection imekuwa muhimu kuliko skills alizo nazo...
  7. NEBASA

    JamiiForums Tanzania Nyota ya mtu ni nini? Na utajuaje kama nyota yako imeharibiwa na nn kifanyike?

    Kweli kabisa Mungu ni mkubwa kuliko chochote chini ya jua
  8. NEBASA

    JamiiForums Tanzania Nyota ya mtu ni nini? Na utajuaje kama nyota yako imeharibiwa na nn kifanyike?

    Shukrani sana ndugu yangu
  9. NEBASA

    JamiiForums Tanzania Nyota ya mtu ni nini? Na utajuaje kama nyota yako imeharibiwa na nn kifanyike?

    Kuna muda unatamani sana kufanya kazi kwa bidii ila unakuta huna hata hyo kazi ya kufanya
  10. NEBASA

    JamiiForums Tanzania Nyota ya mtu ni nini? Na utajuaje kama nyota yako imeharibiwa na nn kifanyike?

    Nashukuru sana kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
  11. NEBASA

    JamiiForums Tanzania Nyota ya mtu ni nini? Na utajuaje kama nyota yako imeharibiwa na nn kifanyike?

    Jamani ndugu zangu kuna muda mambo yanakuwa hayaendi vizuri kiasi kwamba unawaza unafika mbali sana! Labda nyota yangu imeharibiwa wakati huo huo hujui nyota ni nini na kuna mambo gani haswa yana mkuta mtu ambae nyota yake imeharibiwa? Au ni mambo ya kiimani tuu!! Na je kama ni uhalisia nini...
Back
Top Bottom