NEBASA
Member
- Feb 17, 2024
- 17
- 19
Hili wimbi ambalo limeshika kasi nchini Tanzania miaka ya hivi karibuni kwamba ili upate nafasi mahali lazima uwe na mtu anae kujua au uwe na chochote kitu limekuwa likitengeneza jamii ya hovyo kila kukicha.
Ndio watu walioko kwenye nafasi za uongozi kwenye nchi yetu hawapo pale kwa mfumo maalumu wengi wapo pale kwa sababu hizo mbili either kuna mtu anajuana nae kwenye hiyo taasisi ndo kamuweka pale au kuna pesa alitoa ndo maana kapewa hyo nafasi hali hii imepelekea kupata watua ambao hawastaili kwenye jamii na mbaya zaidi hizo pesa na connection hazizingatii hata specification za mtu, mtu anamaliza chuo leo kesho yupo kazini tena kwenye kitu ambacho hajasomea huku kibao waliosomea wanapigwa chini.
Ndio unakuta mtu ni mtaalamu wa Sociology anapewa asimamie mambo ya civil engineering! Hali hii imefanya wanao staili kukaa iddle kwa sababu hawana hizo connection na wasio staili wakapewa nafasi kwa sababu ya hizo connection najua hali hii inajulikana lakini tufanye nn ili kuondoa maana inaumiza watu,sio tuu kuumiza lakini pia inatengeneza jamii ambayo haina mwelekeo kwa watu kufanya mambo ambayo hawana utaalamu nayo.
Team yetu ya Taifa ndo ya kukosa wachezaji 12 wazuri kabisa tippicle players? Impossible lakini nadhani huo huo mfumo unatumika kufanya selection ndo umefanya team yetu iwe hivi mpaka leo, watu million 68 tushindwe kupata first eleven nzuri!!! Wakati kuna visiwa vina watu laki 6 tuu lakn team zao zipo very commited why sisi sio tuu kukosa commitement lkn pia hata kupuuzia vipaji vikubwa vilivyopo mtaani ni sababu kubwa pia.
Mitaa ina vipaji vikubwa sana lakini vinapotea kizembe mno eti kwa sababu hawana pesa za kuhonga au mtu wa kuwashika mkono nchi yetu inaelekea wapi? Nimeandika hii huku machozi yananibubujika najua kauli yangu si lolote si chochote lakini acha tuu niseme hata kama haifiki popote,viongozi wa nchi wanajua hili lakini wanapotezea tuu kwa sababu wao wanaishi vizuri na familia zao inauma sana [emoji29]