Usiwachukie waliofanikiwa kuliko wewe.

Usiwachukie waliofanikiwa kuliko wewe.

NEBASA

Member
Joined
Feb 17, 2024
Posts
17
Reaction score
19
Mtu akikuzidi maarifa au mafanikio fanya nae kazi usitake kushindana nae,moja ya kosa ambalo watu wengi wanafanya ni kuwachukia watu ambao wapo juu kuliko wao jambo ambalo linapelekea kuendelea kubaki nyuma na alie fanikiwa anaendelea kufanikiwa.
Ukimpenda mtu alie fanikiwa kwanza utakuwa karibu nae lkn pia ni rahic kujifunza mbinu anazotumia kufanikiwa na ww ukizitumia utafanikiwa,waswahili wanasema ukikaa karibu na waridi lazima na ww utanukia ila wengi wetu tumekuwa tunawachukia watu walio tuzidi maarifa jambo amblo linafanya tuwe nyuma kila wakati kwa sababu kwa huu umbali hatuwezi kujifunza namna wanafanya.
Lakini pia ukitaka kukua usiwe hang around na watu unao fanana nao uwezo na mafanikio au ulio wazidi hauta ongeza kitu chochote jitahidi uwe una hang around na watu ambao wapo juu yako ili ujifunze vitu vipya ambavyo hukua navyo kabla japo ni ngumu kutengeneza chemistry na watu wa namna hyo jaribu ila jaribu kujitengeneza kuanzia mazungumzo ili waone thamani ndani yako na hatimaye watakupenda.
 
Back
Top Bottom