Recent content by neba

  1. neba

    JamiiForums Tanzania Clouds wamaliza adhabu ya TCRA warudi hewani kwa mbwembwe!

    Mimi binafsi nadhani Clouds wajipange. Wafanye kazi kwa weredi.Nasi pia tunatakiwa tujue kwamba ukifanya kosa wewe mwenyewe, utaadhibiwa wewe mwenyewe. Dhana ya nani kufanya kosa hilo hilo pia, tuachane nayo. Kufungiwa kwa Clouds ni fedheha na kukosa weredi.
  2. neba

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Ndugu zangu, Ugonjwa ulivyoripotiwa huko Kenya tulisema mengi mno.Nilikuwa Arusha siku hiyo.Nilishuhudia mbwembwe nyingi kwa wakazi wa Arusha.Mask ,sanitiser na groves. Baadaye akatangazwa mgonjwa wa kwanza katika nchi yetu. Mtu mmoja aliandika katika social network kuwa " kipele kimempata...
  3. neba

    JamiiForums Tanzania Updates za Corona Tanzania

    Ukitaka kujua knowledge ya jf, tulia, soma comment moja moja kwa utulivu.Then utajua kama hata humu tuko serous au la. Mungu ibariki Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
  4. neba

    JamiiForums Tanzania Ujumbe muhimu kwa wanaodhani nafanya kazi TBC (Shirika la Utangazaji Tanzania)

    Hii ndio jamii forum. Huwezi kuelezea mawazo yako binafsi. Humu watu wanajua mno. Kila kitu humu kina challenge. Na kitu chochote cha serikari ni cha kisiasa. Humu imeingia mpaka dhana ya kuamia Dodoma, ambayo ilikuwa planned kabla wana jf wengi hawajazaliwa. Lakini wakati ukuta. Hongera TBC...
  5. neba

    JamiiForums Tanzania Ogopa hizi shuhuda

    Umenena Sent using Jamii Forums mobile app
  6. neba

    JamiiForums Tanzania Mshtakiwa wa Mauaji ya Mfanyakazi wake atinga mahakamani na dera usoni

    Akihukimiwa fasta , haki za binadamu wataenda kuhojiwa huko Ujerumani ( dw) Sent using Jamii Forums mobile app
  7. neba

    JamiiForums Tanzania Kizazi kilichojaa chuki, wivu na sononi

    Kaka, umeandika andiko la 2020. Nje ya forum kuna vituko vingi mno. Ukiendesha gari, ukiigusa pikipiki wanataka kuchoma gari.Vituko vya chuki ni vingi mno.Hatuwezi kuviandika tukamaliza. Lakini Jamii forum!! Kunatisha.Mtu anajitahidi kuandika jambo alilofikiria kwamba lina msaada kwa baadhi ya...
  8. neba

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Nsa Kaisi ?

    Kanali mstaafu Nsa Kaisi amefariki leo Alikuwa mjamaa mno, ambaye hakujilimbikizia Mali Apumzike kwa amani Sent using Jamii Forums mobile app
  9. neba

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Mapdri wengi ni makachero wanao enda kutubu kwao ukamatwa

    Maelezo yasiyo sahihi. Alienda kuungama baada ya miaka 50 ? Halafu padre akaenda kumshtaki? Padre alimuacha kanisani? Hiyo kesi faili yake ilikuwa wazi kwa miaka 50? Naona vibaya kukwambia Kuwait ' kakanyage tu mafuta' Sent using Jamii Forums mobile app
  10. neba

    JamiiForums Tanzania Yatokanayo: Usiyojua na yasiyoandikwa kuhusu Tanzania kushiriki American green card rottery

    Asante kaka, na sio hayo tu. Bali pia tumebobea katika biashara ya madawa ya kulevya, na biashara ya binadamu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. neba

    JamiiForums Tanzania Mambo 15 ya kufanya kupata hati mpya ya kusafiria

    Hili jambo nalo la ajabu mno. Kupata kadi ya NIDA, nilijaza form iliyohitaji maelezo yote muhimu.Mpaka fingerprints. Sasa kwa nini isiwe ukitaka passport, unawapa migration card ya NIDA, wanapata habari zote na fingerprints kutoka NIDA? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. neba

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

    Hospitali ya Mloganzila Sent using Jamii Forums mobile app
  13. neba

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

    Make 2018 November, nilipata mgonjwa ambaye alikuwa na kliniki ya moyo pale Muhimbili. Lakini alionyesha tatizo jingine, nikaamua kufuata taratibu, nikampeleka hospitali ya Mwananyamala. Hapo alipokewa, na zikaanza jitihada za kumponya.Vipimo na mambo mengine, pamoja na dawa za gharama kubwa...
  14. neba

    JamiiForums Tanzania Muono wangu 2020

    Nawasalimu wana JamiiForums. Jana nilikuwa nyumbani, nikapata wasaa wa kukumbuka nyimbo zetu (sisi wahenga), nikasikiliza wimbo wa Ndalla Kasheba, Dunia msongamano. Wimbo huo niliusikia tokea ulivyotolewa, lakini jana ulinipa mtazamo tofauti. Kuna kipande cha wimbo huo kinasema "Naelekea...
  15. neba

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Baadhi ya Vitabu nilivyosoma mwaka 2019

    Hata hiyo post yako siiamini. Mheshimiwa, msomi, na muongo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom