Tarehe 28 hiyooo imefika,
Misimamo ya watanzania haitabiriki,
Hii inatokana na kukosa uhuru wa kuongea,
Watanzania wakikutana kwenye vijiwe wanamsifia Magufuli,
Ukimdadisi mmoja mmoja kwa wakati tofauti msimamo unapingana na wakiwa wengi,
.
Wanahofu ya kupata majanga ya kushtakiwa, kufungwa...