Recent content by Ndusu jabasungu

  1. Ndusu jabasungu

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa: Mamia ya wagombea wa upinzani waenguliwa, waapa 'kutosusia shamba'

    Hahaha 🙄🙄🙄kwahiyo ni cdm tu?
  2. Ndusu jabasungu

    JamiiForums Tanzania Kumuona nabii milioni 1.5 nimechoka

    Huko hawaendi wakristo tu, Bali wote walio desperate 😭 mtu akiwa kwenye mateso, panahitajika walio wazima kufanya maamuzi sahihi, vinginevyo ni katapeliwa ti.
  3. Ndusu jabasungu

    JamiiForums Tanzania Mr & Mrs Zimbwe Jr katika pozi la Familia

    🤣🤣🤣I was waiting to see such kind of conscious foolishness comments from 😭😭😭
  4. Ndusu jabasungu

    JamiiForums Tanzania Iran yasemekana kufanya jaribio la Makombora ya Nyuklia chini ya ardhi Jumatatu 7/10/2024

    Kwahiyo hizo nuclear weapons ni selective, kwamba zitachagua non Muslim tu 😭😭, maana Palestine and huwezi kudondosha nuclear weapons haziwezi kutumika maana zitwkuwa ni self destruction.
  5. Ndusu jabasungu

    JamiiForums Tanzania Tutumie muda mwingi kumuombea Rais Samia kuliko kuimba mapambio

    Wakati wa utawala wa mzee JPM, watu wenye kujinasibu ni wazalendo, walitumia muda mwingi kumsifu, kumpa utukufu uliovuka UBINADAMU, kiasi kwamba akina Nape wakitabiri kuwa Edo angefia ikulu, ila JPM mpiga push up hafi 😭😭 that was blasphemy against the almighty God, 😭😭 conscious foolishness...
Back
Top Bottom