Mh,Waziri wa Elimu saidia hawa watoto wa Darasa la saba( 7) shule ya msingi salasala lugalo hali ni hiyo kila siku kwenye masomo na kwenye mitihani ni kukaa chini namna hii je ni Elimu ya namna gani mnayowapatia watoto hawa?
Hii ndiyo dhana halisi ya Elimu bure? Nakuomba sana waziri kwa sms na...
Najua mambo ya dini hayaruhusiwi humu ndani ila kwa kuwa ni jambo la uhutaji haitakuwa ni tatizo kuliweka hapa.
Ni kwamba nahitaji msaada wa deliverance kiroho kwa ajili ya mwanangu tafadhari mtu anayejua mahali ninapoweza kupata msaada huo tafadhari anijulishe.
Natanguliza shukrani zangu za...
Taarifa zilizopo ni kwamba kuna kila dadlili za dayosisi ya Mashariki na Pwani kumshinda Dr Alex Malasusa.
1. Dayosisi imejaa madeni na kuna wakati watumishi wanashindwa kulipwa mishahara yao
2. Mfuko wa Elimu ulioanzishwa ilikuwa ni kulipia malimbikizo ya mfuko wa jamii waliyokuwa wanawakata...
Umeandika maeleze meeeeengi ajabu yake hayana point,Kama unataka kuthibitisha unayoysema weka ticket ya safari ya kinana hapa na picha akiwa hospital maana dunia ni kijiji hilo halishindikana,tutakuamini usemayo Kama utaweka ushahidi tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.