Kiwanja kinauzwa mbezi makabe

Ndussi

Member
Mar 14, 2017
17
4
Kiwanja kinauzwa kiko
Mbezi Makabe,kiko barabarani ila siyo barabara kuu.ukubwa wake ni urefu hatua 62,upana hatua 32,kina karatasi za mauziano,bei ni maelewano bei ya kuanzia mil 15 call 0714
/0765 666 662 Katibu sana
 
Makab

Makabe sehemu gani? Karibia na nini?
 
Kama unataka mita hadi nimtume mtu akapime lkn hizo hatua zimezoeleka tu na unaposema hatua means za mtu mzima
 
Uko chini Sana mkuu ongeza ongeza,pia ni vema ukaenda kupaona ni pazuri labda ukipaona hata hiyo pesa niliyotamka utaona value yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom