Recent content by Nduna shujaa

  1. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Dar: Panya road wavamia nyumba 24, wanne wajeruhiwa

    Hawa panya wa barabarani kwanini hawaishi?Kweli serikali jeshi imeshindwa kabisa?Kuna uzembe mahala.
  2. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!

    Kaka unaongoza kwa head title ndefu hapo bado habari yenyewe.uwe unasimplify.
  3. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Amuua mwanafunzi mwenzie kwa shoka baada ya kushindwa kumbaka

    Dah pole kwa wafiwa.Kumshinda shetani yataka vitu vya imani na uvumilivu.
  4. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasitisha vibali vya usafirishaji wa mahindi nje ya nchi

    sifurahii hili mana nililima kwa hela yangu nbolea bei juu.Niache nhuze kwa bei ghali nirudishe gharama zangu na faida kwanini mnafunga mipaka?
  5. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Gharama ya uwekaji umeme laki nane na upotoshaji wa Waziri Makamba

    Hawatafanya hilo hadi kufa kwako au kufa kwako.Watakula wapi?
  6. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania EWURA imetangaza bei mpya za Mafuta, Petroli, Dizeli, Mafuta ya Taa yashuka

    shusha tena na nauli zishuke.
  7. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Nunua mihogo yao lakini kuweni makini sana wanapoomba muwatwishe mabeseni yao kichwani

    kwakweli hata mimi amewahi kuniambia nimtwishe nikashangaa,nikamjibu kadish kadogo nikutwishe sitaki.Akamwomba mwingine.
  8. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Uchawi ni kosa la jinai, Mahakama ikikukuta na hatia unafungwa jela

    Sasa inakuwaje wanaposema uchawi hauaminiki serikali wanamaanisha nini?
  9. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Haki ya mtoto pindi wazazi wanapotengana au kuachana

    Sawa mkuu tupo pamoja.
Back
Top Bottom