Bora mngebaki na Chadema yenu kuliko huu ukiwa maana mmepotea kabisa, chama kilichokuwa kinamwaga sera leo kimekuwa cha kusengenya nko mnashindwa hata kutumia akili kidogo tu mnaishia kuropoka tu. Hebu jifunze kiswahili kidogo hawa wanahamasisha mama zao siyo watoto wao au unataka kutuaminisha...
Na hao si riziki mlowajaza kwenye UKAWA je wanaishia kubinua midomo tu, hayo ndiyo maadili? Wagombea wengine hata hawajui kuoa ni nini na bado mnaongelea maadili!!!
Mbona hujiulizi kwa nini UKAWA wamemuamini Sumaye na kuwa msemaji mkuu kwenye mikutano ya Lowasa hivi huwa anaongea nini na bado anahudumiwa na kodi zetu? Ukizingatia UKAWA wanahubiri mabadiliko sasa hiyo timu ya wazee inataka kutupeleka kwenye ujana?
Hakuna anayeimba kuwa siyo ufisadi na bado mambo mengine kati ya uliyoyaorodhesha umeshindwa kuyaelewa, ni tofauti kabisa na wimbo unaoimbwa kuwa ni mfumo mfumo na wote wanaimba mfumo ndiyo tatizo na bado katika mafanikio ya mtu wao wanaonyesha kazi alizofanya kwenye mfumo huo huo mbovu! Hakika...
Kwanini wa Tz wepesi sana wa kufanya mlinganisho bila ya kufanya utafiti! Inasikitisha na kuudhi kama kitu hukijui hakuna haja ya kutolea mfano...by the way kuna nini cha kuiba toka ukawa? Hao wanaojaziwa mafuta kujaza mikutano!!!
Inasikitisha sana kama upeo wa wana mageuzi ndiyo huu wa kulalamika tu kama wake wenza bila hata kufikirisha akili kidgo, basi ccm itaongoza nchi hii kwa muda mrefu sana. Jitahidi kuangalia TV zote usisuse kama mtu aliyekata tamaa then utapata jibu
We lazima ni lile kabila lenye maslahi kama alivyosema anayeota u-firt lady ambao hata hivyo hataupata kamwe... Na hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza mfia fisadi rabda hao wanaojaziwa mafuta maana walishaharibiwa akili na haohao
Ni kweli kabisa, kama watu wanaweza aminishwa kuwa mtu huyu ni Fiasadi kwa miaka minane na wakaamini na bado wanaweza amishwa kuwa mtu huyohuyo ni msafi baada tu ya kuhama chama na wakawa wote pamoja na maprofesa wao wanaimba mfumo mfumo!!! Nakubaliana kabisa elimu elimu elimu... Sasa simui kama...
Umeona wasanii tu na watu wanaosombwa lakini hutaki kujua bodaboda wanaojaziwa mafuta na kuleta usumbufu ili ionekane shughuli zilisimama kwa sababu ya mahaba! Hivi kweli unaweza linda kura upo 200m na ukiwa huoni kinachoendelea? Natamani kuona viongozi wa UKAWA na familia zao wakilinda kura
Ndicho anachouliza mtoa hoja kwamba je hawa wastaafu walioshindwa kulifanya hilo wakiwa na nguvu zao ndio wataweza kulifanya wakiwa wamezeeka tena kwa speed ya 120km/hr?
Inasikitisha JF imekuwa sehemu ya wapiga majungu, kilichotokea Ipinda ni tofauti kabisa na alichoandika huyu jamaa, pengine kafanya makusudi kufurahisha waajiri wake ili mwisho wa siku ajipatie posho.
Mkutano wa Ipinda uliweka record na kamanda Makongoro alikuwepo pia. Inasikitisha sana kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.