omemegrace
Member
- Aug 23, 2015
- 67
- 28
SWALI KWA NEC, POLISI, KIKWETE NA CCM.
-Hivi kuna ubaya gani watu wakikaa kituoni wakilinda kura zao, mbona kwenye kampeni za kuomba kura mnatembea mikoa yote, mnawasomba watu, mnahonga pesa, mnawatumia wasanii lakini eti ukishapiga kura huna thamani tena umeshamaliza ya wakubwa ukitaka kujua hatma ya kura yako ni kosa, hivi hiyo ndio haki ya kikatiba?
Je, mnaposema baada ya kura kuhesabiwa Raia watasomewa matokeo nje, sasa kama hawaruhusiwi kukaa umbali uliopangwa matokeo hayo matokeo mtawasomea akina nani wakati mmetishia hata kututoa roho.
Je, mkimaliza kuhesabu mtawapigia wananchi simu wote au mtawatangazia waje wasikilize matokeo? Au matokeo mtawatangazia mawakala tu?
KAMA HUO NDIO UBABE WENU TUTAKULA SAHANI MOJA MWAKA HUU.
NIMEGUNDUA TANZANIA KUNA UNAFIKI WA DEMOKRASIA NA WANANCHI TUNAONEKANA WA MUHIMU KWENYE KAMPENI NA KUPIGA KURA ILA TUKISHAPIGA KURA HATUNA THAMANI TENA, HIYO NDIO TANZANIA YA CCM.
Nchi ambayo wachache wanaamua mambo kwa manufaa yao.
BORA KUFA PENYE HAKI KULIKO KUTOKUTENDEWA HAKI.
By mtoto wa mnyonge mpenda haki