Recent content by NDUKI

 1. NDUKI

  Kiboko ya wezi wa simu

  Ina maana hata mmiliki akiitoa mfukoni itapiga kelele pia...!
 2. NDUKI

  Hivi ni Kweli Unaweza Kutumia Simu Kama Projector Wakuu?

  Usjali kiongozi tuko pamoja mkuu. Thanks.
 3. NDUKI

  Hivi ni Kweli Unaweza Kutumia Simu Kama Projector Wakuu?

  Mkuu nashkuru kwa mchango wako anuwai. Ila swali lilivyouliza na jibu ulilojibu ni vitu viwili tofauti mkuu. Nimepitia hiyo link na nimesoma maelezo yote kea kina, ila kilichopo kwenye hiyo link uliyoweka wameorodhesha devices zilizo na built-in projector wakati mimi nimeulizia APP kiongozi...
 4. NDUKI

  Hivi ni Kweli Unaweza Kutumia Simu Kama Projector Wakuu?

  Ahsante kumuelewesha kiongozi.
 5. NDUKI

  Hivi ni Kweli Unaweza Kutumia Simu Kama Projector Wakuu?

  Sawa kiongozi, ila ukisoma vizuri maelezo yangu nimeainisha kuwa KAMA KUNA APP inayoweza kufanya hivyo kupitia simu yoyote tu, atuelekeze. Thanks.
 6. NDUKI

  Hivi ni Kweli Unaweza Kutumia Simu Kama Projector Wakuu?

  Heshima kwenu wadau. Naomba kueleweshwa hiko kitu hapo juu je, kuna app inayoweza kutumika kwenye simu ikawa kama projector kwa kuangalia picha kwenye ukuta wakuu? Kama kuna anayefahamu naomba atuelezee ina oparate vipi kwa simu? Natanguliza shukran kwenu. Thanks.
 7. NDUKI

  Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

  Aisee kiongozi nipo na THE BRAVE naendelea nayo hapa, ama kwa hakika kwenye machaguo yako hujawahi kuniangusha hata siku moja mkuu. Heshima nyingi sana kwako kiongozi...!
 8. NDUKI

  Nahitaji hizi bidhaa

  Kiongozi ungeweka bei unayonunulia na ungesema pia unapatikana wapi ili kuweka urahisi kwa watu kuweza kujua mtafanyajebiashara boss. Nikutakie kila la heri...!
 9. NDUKI

  Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

  Hujawahi kuniangusha aisee lazma nipite nayo hiyo kiongozi...!
 10. NDUKI

  Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

  Ntapita nayo mkuu...!
 11. NDUKI

  Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

  Into the badlands nimeiona ipo vizuri mkuu...!
 12. NDUKI

  Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

  Action kama za Jason Statham mkuu. Au kung fu, Karate, Judo and the like...!
 13. NDUKI

  Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

  Hebu nisaidieni kwenye hizo series ipi ni nzuri niitazame wakuu...?
Top Bottom