Recent content by Ndugulusudkucho

  1. Ndugulusudkucho

    IDEA: Jinsi ya kutoka kimaisha kwa hali ya sasa

    JINSI YA KUTOKA KIMAISHA Tangu mwaka 1980 huko kuna watu walikua wakilalamika maisha ni magumu, haikuishia hapo tu 1990, 1995, 2000 mpaka 2015 watu walikuwa wakisema maisha ni magumu. Sishangai kuona leo hii 2017 watu wakilalamika maisha magumu ila nashangaa sana wewe ukiwa miongoni mwa...
  2. Ndugulusudkucho

    Natafuta mtu anayefanya kazi VodaCom

    Uongo mwwingine uko wazi, atakaye respond ni kilaza, kwan hapo ulipo hujui ofc za voda ukawaona wafanyakazi hata uwatafte humu JF
  3. Ndugulusudkucho

    Video: Rais Dkt. Magufuli akiendesha moja ya mabasi ya Mwendokasi wakati wa uzinduzi

    Angewekewa songi la darasa angeenda umbal mrefu[emoji3][emoji3] ila yko vema, Bombadier pia angepaisha kidgo ingekuwa[emoji106]
  4. Ndugulusudkucho

    Ni kazi gani uliyowahi kufanya ambayo unafikiri hautoweza kuisahau kamwe?

    Gape la 4m 4 nlienda kuvua samaki ziwani, asikuambie mtu ziwa linatsha balaa ukutane na upepo na mvua ukiwa katkat ya ziwa, maji ni meusi huwezi amini yan hapo kifo unkiona live bila chenga
  5. Ndugulusudkucho

    Lugha ya kiingereza ina mahusiano makubwa na ugonjwa wa presha

    Hii lugha ilikuja kwa meli, usishangae xn n jambo la kawaida
Back
Top Bottom