Recent content by ndosho

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutumia Sumsung GTS5603 kama connector ya Internet.

    Install samsung new pc studio open internet connector create internet profile ya device yako connect. Simu iwe kwenye pc studio mode. Samsung sometime zinazingua ukidisconnect na kukonect tena ikitokea make sure unatumia same usb port Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  2. N

    JamiiForums Tanzania Super Internet speed 2MBps/ 10Mbps baada ya kucombine mitandao 3

    Inasaidia hapa inatakiwa. More usb port,modem kibao na eneo lenye 3g ya hiyo mitandao. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  3. N

    JamiiForums Tanzania Super Internet speed 2MBps/ 10Mbps baada ya kucombine mitandao 3

    Ngoja tujaribu alafu tucheki inakuaje.. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  4. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo hamueleweki kwa sisi tunaokata rufaa.

    image ya security code haionekani ndio maana inagoma hawa jamaa!!!!!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutumia Sumsung GTS5603 kama connector ya Internet.

    window gani unatumia
  6. N

    JamiiForums Tanzania ZTE MF190 Help...

    mi nimefanikiwa kurudisha dash board kutoka kwenye modem nyingine kama hiyo lakini still invalid sim kwa line yoyote. lakini DC unlocker cracked version inaulock fasta tu kwa modem kama hizi kabla ya kubadili dash board....tuendelee kujuzana
  7. N

    JamiiForums Tanzania zte mf 190 firmware

    DC unlocker cracked version ina unlock fresh!!!!!
  8. N

    JamiiForums Tanzania zte mf 190 firmware

    Wakuu msaada wa zte mf 190 modem haisomi line yoyote kwa sasa baada ya kuupdate firmware nyingine ilikuwa modem ya airtel
  9. N

    JamiiForums Tanzania 3g ya vodacom mikoani

    hata Airtel sio kila sehemu ni 3g, bundle sawa ila 3g inakuwa speed kuna baadhi ya sehemu voda wameweka speed ni ya ukweli sana
  10. N

    JamiiForums Tanzania 3g ya vodacom mikoani

    Wakuu kuna mwenye details zozote za 3g ya vodacom kuendelea kuwekwa mikoani kibaha hapa bado tunahangaika na edge
  11. N

    JamiiForums Tanzania msaada on how to unlock new vodacom usb modem e173

    maneno mazuri...toa msaada.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku-unlock Airtel Modem aina ZTE MF 190

    Zte zimekuwa ngumu kama ku-unlock wengi wanatumia hiyo join air na kama bado imegoma tusubiri maoni zaidi Gud luck
  13. N

    JamiiForums Tanzania Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

    kinyoba hizo ni bundle tofauti hii ilikuwa unatuma neno internet kwenda 15444
  14. N

    JamiiForums Tanzania Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

    Wameondoa kweli sasa mtandao gani mwingine sijui wa kukimbilia..
Back
Top Bottom