Habari ndugu zangu.
Kwa machozi mengi naandika juu ya jambo hili. Mimi Ni mmoja kati ya wahitimu katika kozi ya "DIPLOMA IN TECHNICAL EDUCATION" 2019 katika chuo Cha Ualimu Kleruu.
Nia yangu ilikuwa Ni kuendelea katika ngazi ya juu Zaidi ya Elimu, lakini , nimepambana kwa nguvu zote nikaomba...
Not s
Nishafika hadi ofsini kwao wakaniambia tatizo lipo NECTA, NECTA nikawaandikia barua but nothing is going on. Nachukia Sana kwa utendaji mbovu kwa haya mabaraza, NECTA & NACTE.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.