#COVID19 Uingereza: Hata waliopata chanjo full wanaambukizwa kirusi cha Omicron

Kibaya zaidi umeishajidunga J&J na mwili wako umeishakuwa tegemezi, hauwezi tena kujikinga wenyewe kama Mwenyezi Mungu alivyouumba! Yaani sawa na mtu mwenye virusi vya ukimwi akiacha dawa eti kisa kanywa kikombe cha babu wa Loliondo, virusi wanazaliana kwa speed ya 5G. Kama umedungwa michanjo ya mkurupuko wahi ukajiboost na mara hii hakuna ya bure, ni kulipia.... Bill Gates ni ngedere!
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom