NAWAZA! NAWAZA SANA HATIMA YA VIJANA WA TANZANIA.
Sikumbuki vizuri, lakini kabla ya miaka ya 2000's ilikuwa kawaida kuona kata nzima ikitoa wanafunzi 1-3 kuendelea na masomo ya sekondari mara baada ya kuhitimu elimu ya msingi (ref kata yangu ya Matema (W) Kyela)
Sababu kubwa ya idadi ndogo sana...
Hata wewe grammar yako haiko poa sana
Hujui ka kuna Subject-Verb Agreement
Hujui ka kuna Words Collocation
Hujui kama Lugha inaSyntax
Rekebisha kwanza Written English yako kisha anza kukosoa wengine.
Pili, hakuna ushahidi wa kutosha kuwa kuna taifa limefikia maendeleo ya juu kwa kutumia lugha...
Ahsante mkuu kwa mada. Mwaka juzi nilivyo kuwa chuoni pale SAUT Mwanza nlifanya assignment ambayo ilinitaka niaandae scheme ya jinsi ya kuondokana na unequal distribution of teachers btn rural and urban.
Miongoni ya mapendekezo keenye scheme hyo, ilikuwa ni serikali kuandaa utaratibu wa kutambua...
Bro kuna halotel hapa. Ni line mbili lakin nisipo weka line ya halotel kwenye slot ya kwanza (line 1) hata ya pili nikiweka line nyingine naambiwa invalid sim card. Msaada tafadhali!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.