Recent content by Ndollo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM waliowakaanga Mawaziri kwa kutegemea kuvaa viatu vyao waambulia Patupu

    Mleta hoja nina wasiwasi na IQ yake!! Ni ndogo kupita maelezo ata hajielewi!!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nyalandu aanza kampeni kanisani, amhusisha Kikwete na majini

    Swali Dogo tu, hivi hawa wanaojiita manabii wakifa ni nani anabaki pale kuhubiria watu? Wakati hakunaga ibada bila wao kuwepo??
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye utoaji wa leseni mpya za clearing and fowarding watangazwa

    Hawa jamaa Tayari wana kampuni ambazo wamezilenga na ndio maana unaona wameweka vigezo Ili wengine wasipate mkuu!! Mi nko kwenye hiyo industry lakini nashangaa ata chama cha mawakala wa forodha TAFFA wamekaa kimya!!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ndani ya saa 12 zijazo Jaji Werema kujiuzulu kunusuru Serikali kuanguka

    Mimi sujaelewa kwa nini bunge imehairishwa??? Nijuzeni jaman!!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kizuri na kikubwa kinauzwa

    King Kong tupe offa yako kwanza, wengine ndo kunyumba!!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kizuri na kikubwa kinauzwa

    Toa offa yako basi
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta ALTEZA

    Kuna mtu anayo namba c silver lakini m8
  8. N

    JamiiForums Tanzania Picha nyingine lawama tupu

    Hahahahahaaaa you people are funny !! Sasa hamjona nini? Maneno mmeona Ila picha hamjaona!!
  9. N

    JamiiForums Tanzania iPhone 5 16GB inauzwa kwa bei cheee

    Hizi cm bwana Kiboko, ukiuziwa yenye Apple ID usiichukue maana Hakuna mwenye uwezo wa kuitoa/kuflash... Jamaa anazo za kupigwa airport Kampa mtoto anachezea imeshindikana kutoa lock!!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima amrithi!

    Apandishwe kortini kwa kugushi!!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais masikini zaidi apewa dola milioni moja

    Source ni bbc Jana usiku star tv!!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Real Madrid vs. Barcelona: Biggest X-Factors in Saturday's El Clasico

    3 kwa 1 kama ujui Madrid anaongoza dakika ya 45
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ebola Yaingia New York

    Ni nchi gani hiyo?????
Back
Top Bottom