Hawawezi kubadilika wamepewa sumu mbaya sana Mungu atawaumbua siku siyo nyingi Awamu hii ni mafuriko nchi zote zinakubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ya kupimwa mkoja inaonekana kuwa kitu cha ajabu lakini wale jamaa wanauwezo Wa kususpect jamaa labda alionesha dalili za ulevi na ulevi hasa Wa madawa unaweza kupelekea MTU kurudia rudia makosa ya ajabu ajabu bila kuwa na kilevi.hiyo siyobure lazima kuna heroin kichwani.
Sent using Jamii...
Kuswekwa ndani ni jambo la kujichunga nalo sana naamini ukikaa mahabusu unaongeza chuki sana kwa waliokuweka ili jamii ione kama hakuna kitu kibaya kilichotokea unapaswa kufanya kama alivyofanya lakini kiukweli usichezee jela labda ije kwa BAHATI mbaya naamini unaweza kufanya siasa bila Kusekwa...
Anawazo zuri tatizo ni namna ya kuwakilisha lakini nimebaini kwamba wanaume wengi tunapenda kuwa na wapenzi lakini siyo wale wanaouza barabarani 15000 sijui ni kwa nini mpaka mtudanganye kidogo oooh nipo single hapo lazima ununuliwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.