Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,215
- 1,240
Ni aibu kutoka rumande kwa dhamana hala fu unainua mikono kuashiria furaha kupita kiasi, kesi ipo palepale, wewe unafurahi kama zuzu.
Ni aibu mtu mzima mwenye timamu kumuona Lisu kuwa shujaa wskati hakuna chochote cha maana alichowahi kukifanya ktk Taifa hili, sana sana kutukana Serikali tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aibu mtu mzima mwenye timamu kumuona Lisu kuwa shujaa wskati hakuna chochote cha maana alichowahi kukifanya ktk Taifa hili, sana sana kutukana Serikali tu.
Sent using Jamii Forums mobile app