Recent content by ndohe kabhonyi

  1. N

    Mh.Zitto jiandae kuwa M/kiti wa CHADEMA uokoe Jahazi

    Asikubali hata kama atapigiwa magoti
  2. N

    CHADEMA imekwisha!

    Sisi watanzania tulio wengi tunatanguliza kupenda mtu na sio mchango wake au hoja yake tukubali kwa uamuzi wa kukulupuka pale CDMA ilikosea kama tulivyo kulupuka kuunda ukawa nafikili hata tukiwapa nchi tayari wameshajiunga na boko haram wazee wakae watwambie tulikosea wapi tujirekebishe kabli 2015
  3. N

    Nabii asiekubalika nyumbani

    Ezekiel kamwaga ni watu wenye busara na hakima tu wenye uzalendo wa kweli ndo wanaweza kukubali anachofanya huyu zzk au maada ulioandika mfano vijana wanakwambia ubora machafuko kuliko amani wanaona Sudan ya kusini
  4. N

    Nabii asiekubalika nyumbani

    Hakuna asiyekasoro ila wengi wetu tumekuwa mashabiki wa (watu) mtu akisema chochote tunaamini Zito kabwe ni mzalendo ana uweleledi na hakulupuki nampongeza kama Tanzania mwenzangu
  5. N

    Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

    Nakubaliana na AFROPAC kwa kugundua dhahabu ilichafuliwa na kinyesi na wao kuona inafaa hongera jembe liwakilishe taifa vizuri hata ungekuwa kwenye majivu mtu anayejua cha thamani atakiokota tu
  6. N

    Bazara kivuli la Mbowe laanza kuitia kiwewe CCM

    rudi shule! Hueleweki. Sioni sababu kama hao wote wamesoma na unaona ukanjanja ndio unaowafanya waishi nasema Mimi shule siendi na uzalendo umenishinda nibora wazamani ninaowajua kuliko makanjanja
  7. N

    Nape Nnauye: CCM ni jino kwa jino na wanaojiita UKAWA

    Hapo hakuna muungano wa UKAWA Bali ni hila giliba zinazofanywa na watu tuliohisi wanaweza kuongoza hebu Anglia Cuf wako ktk serikali nani anajua maalim sefu na karume waliongea nini mpaka wakakubaliana kuunda umoja unafikili umoja huo hauna manufaa kwa ccm? Wakubwa nguo zimevuka mbele ya umma...
  8. N

    Bazara kivuli la Mbowe laanza kuitia kiwewe CCM

    Sijaelewa vizuri nafikili ni kwa sababu sijaenda shule zaidi nafikili tunaona mwisho cha chadema katika binge hili la bajeti chama chetu chadema litabaki jina tu tutatembelea kilichofanyika mwaka 2010 maana sina hakika kama Cuf watapinga muswaada wowote kwa niaba ya nafasi yao ktk serikali pia...
  9. N

    Kwanini CHADEMA isiungane na CCM?

    Tukiacha mambo ya kinazi vyama vilivyojiunga na ukawa walitakiwa kujua mipaka ya ukawa ni wapi pia wasichanganye siasa na mambo ya katiba kwa Mimi ambaye sijaenda shule najua vyama vyote ni muungano wa ccm na hapo ndipo tumefia ccm wataendelea kututawala kumbe wasaliti walikuwa wengi sio zito...
  10. N

    Ni wakati wa CHADEMA kuwasamehe Zitto na Dr. Kitila Mkumbo

    Hapo hamna muungano wa vyama vya siasa huo ni uongo wa siasa kumbuka kuna wanachama wengine walihama chama kimoja kwenda kingine anafika hapo unamwambia umeunganisha vyama hiyo ni kamali tunaipa nafasi ccm kuendelea kutunyanyasa
  11. N

    Mbowe kuwaingiza rasmi CUF na NCCR Serikali Kivuli Bungeni

    Alikuwa wapi mda wote hiyo kama falsafa ya ccm ya kuhitaji huruma za walalahoi kua huo ni Umoja
  12. N

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Samahani Mimi sina shule ila kama tuliweza kuvunja Azimio la Arusha kwa sababu ambazo walizijuwa wenyewe Leo hii watu wamechoshwa na Muungano wakubwa wanataka mawazo yetu iweje? Mtazamo wangu kila nchi iwe huru
  13. N

    CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    Maantiki ya maada hii ni kujipanga kuondoa tofauti ndani ya chama migogoro daima inahalibu chama kwa mantiki hii kama viongozi wako kwa nia ya kazi mabadiliko ni ndoto
  14. N

    Maigizo ya viongozi wa chama cha ACT na sera ya uwazi

    Mleta maada hujajipanga vizuri
  15. N

    'Chagua CCM' Mzimu uliobaki kuwatesa wanyonge nchini Tanzania

    Hayo ndo mageuzi ambayo mwanzo MTU alikuamini akagudua kua we we huna imani nae inabidi aludi alikotoka tafakari mda bado
Back
Top Bottom