Kwanini CHADEMA isiungane na CCM?

Kwanini CHADEMA isiungane na CCM?

Tukiacha mambo ya kinazi vyama vilivyojiunga na ukawa walitakiwa kujua mipaka ya ukawa ni wapi pia wasichanganye siasa na mambo ya katiba kwa Mimi ambaye sijaenda shule najua vyama vyote ni muungano wa ccm na hapo ndipo tumefia ccm wataendelea kututawala kumbe wasaliti walikuwa wengi sio zito peke yake
 
well said, identity ya ccm itadumu, ya wapinzani itafifia
 
Waberoya ukianzisha chama...nitakuwa first member...nilisema Zamani hapa jf..serikali tatu lengo ni ku achieve nini? Kwa nini wasililie tume huru ya uchaguzi?
 
Chadema kujiunga na CCM ni sawa na Chadema kujiunga na shetani
 
Waberoya ukianzisha chama...nitakuwa first member...nilisema Zamani hapa jf..serikali tatu lengo ni ku achieve nini? Kwa nini wasililie tume huru ya uchaguzi?

Ahaha haaa, asante boss kuwa na Trust kwangu

Yaani wapinzani wanacheza ngoma ya CCM bila kujua. CCM wameishaharibu walichofanikiwa ni kuwaweka wainzani kwenye kaango lile lile la kutojali wananchi. People are wasting their valuable time kujadili S2 au S3, huku Dar es salam haipitiki!! kia kona barabara zimeharibika...............mwishowe wananchi wanaona hawa wanasiasa wooote lao moja

Kibaya zaidi wakiambiwa huwa wakali na kejeli juu,

kama unajua nguvu ya BRANDING kwenye marketing, utagundua jinsi ambavyo products zinavyokuwa na power zinavyojulikana kwa branding zake

Uchaguzi unakuja, popularity ya chadema, CUF na NCCR zitakuwa moja tu, people will never see chadema alone but UKAWA branding power ya chadema itapungua, contrary na imani ya wengi

kikubwa ni why mamuzi haya? tukiwambia kuwa maaamuzi yenu mabovu ndio maafa yenu huwa hawakubali

conflicts za chadema za siku za karibuni zimepeleka haya yote, hatima yake ni upinzani kukosa nguvu due to lack of that branding power

may be I am wrong, but I believe UKAWA was supposed to be better than that

Mr. Boss twende ACT ha ha haa
 
Naona ccm ilifanya misstake kuwakutanisha wapinzani kwenye bunge la katiba na kuwatukana...ghafla wamestukia wapinzani wameingana bila kujua..
 
Mkuu tumeungana huoni wakina petrobasi na tumbili wako ndani ya Chama chetu cha malaika?
 
Hayo mafisadi na matetezi ya mabepari na manyonyaji tuyapeleke wapi? Acheni hoja za kijinga.
 
Back
Top Bottom