CHADEMA imekwisha!

CHADEMA imekwisha!

Rekebisha sentesi.
Ni chadema au ukawa?
Maana siku hz mnatuchanganya sana.
Mara ukawa inatisha, ooh mara chadema inatisha.
Sa tumshike nani tumuache nani?
 
Dhambi waliyomtendea zitto na wenzake itawatafuna tu kuja kwa ukawa ni njia wanayoitafuta ili cdm ipate huruma ya watz kupitia migongo ya vyama vingine.
 
Mwanza tumesha amka,hatuhitaji Interahamwe CMC hamna chenu huku.Hayo maneno yako wapelekee watu wa Kalenga na Chalinze ambako hakuna minara ya simu,maji ni shida,umeme hakuna,shule hazina madawati wala walimu,barabara ni chokambaya.
 
Really tushasema kama hujui unaongea nini au wat to post kindly try yo nonsense else whea sio jf plz,be a gud listener kama humsikilizi lissu vizuri huezi kumwelewa ndugu
 
Mwanza mmejipanga na nanni?? Jipange na washenzi wenzako ambao hamjui wat ua doing,lakini kwa wale wateule na waelewa huwezi kuwayumbisha, sisi tunaangalia mchango wa lissu duniani wala sio unachokifikiria wewe ok!!! Think beyond unafaa kusaidia wasiojua lakini by the face of it yo a big hypocrite
 
Hujui zitto alifanya nini up to date??? Get serious plz??? Ulitaka zitoo afanyweje xaxa??? He is jaz like any oda normal pason,let the law take its course pia,the truth will eva set us free coz since the immemorial it has bin a trend,wewee hapa unajipoteza mwenyewe??? Zitto wenu na umaarufu wake xaxa yuko wapiiii,akafute kamasi huko kigoma kwao,"" fair comment"
 
naona CDm inawanyima usingizi sana hawa interahamwe! Huku Mwanza tunasubiri uchaguzi tu ufike tuchukue majimbo yote, hatutaki kabakiza hata gamba moja hapa mkoani kwetu! People'zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

CDM ni kama popo. Hajulikani kama popo ni ndege au mnyama.
 
Mwanza mmejipanga na nanni?? Jipange na washenzi wenzako ambao hamjui wat ua doing,lakini kwa wale wateule na waelewa huwezi kuwayumbisha, sisi tunaangalia mchango wa lissu duniani wala sio unachokifikiria wewe ok!!! Think beyond unafaa kusaidia wasiojua lakini by the face of it yo a big hypocrite

Povu mbona lakutoka kumtetea Lissu ? Lissu ni kama kuku wa kuchora hafai kwa nyama, hawiki, hatagi mayai nk
 
Wakijirekebisha wakatoka kwenye ukawa, mtaacha kupiga mabomu na kuua watu kwenye mikutano yao, mtaacha kuwabambikizia kesi, mtawashitaki wenye wa kwenye list of shame. Mikataba mnayofanya siri mtaiweka hadharani. Ni kweli mko tayari kwa siasa za ushindani bila kutumia jeshi?
 
Lisu ni tatizo kubwa sana kwenye jamii hii ya watanzania anapaswa kulaaniwa na wote wapenda amani na mshikamano.
 
Wakijirekebisha wakatoka kwenye ukawa, mtaacha kupiga mabomu na kuua watu kwenye mikutano yao, mtaacha kuwabambikizia kesi, mtawashitaki wenye wa kwenye list of shame. Mikataba mnayofanya siri mtaiweka hadharani. Ni kweli mko tayari kwa siasa za ushindani bila kutumia jeshi?
Mabomu atupe Lema na mbowe halafu wasingiziwe wengine we akili yako ipoje bana.
 
Chadema pale ilipofikia ilikuwa haihitaji CUF au NCCR kupata nguvu, ilitosha kabisa wakasonga mbele na kufikia lengo

wameongozwa na majungu, wivu, unafiki, fitina na uzushi. wamefikia mafanikio waliyoshindwa kuyabeba na kuendelez

Brand name, charter la chadema, au umaarufu wa chadema kipindi hicho ulitosha kabisa kuwaondoa CCM madarakani

wakabweteka, wakashauriwa hawakusikia, wakawapa vichwa viongozi wao ambao hawashauriki; sasa yanatokea haya ya kutokea kwa aibu kubwa na huzuni wamefika hapa

UKAWA automatically inaiua chadema, CUF na NCCR...brand name na power za hivi vyama zinapungua, huku muungano wenyewe ukitawaliwa na historia ya kudharauliana, kutukanana, na kejeli ambazo bado hazijafutwa

Kinachoonekana ni kuwa hawa wana tamaa ya madaraka tu!!! kulifuta hili gumu sana

Chadema bado wana chance ya kubadilika na kurudi walikotoka, watatue matatizo yao amicably, it is possible

Nguvu ya upinzani ipo na itaendelea kuwepo kwa sababu sioni ni namna gani serikali ya CCM imejipanga kujisafisha na kuwaletea watanzania maendeleo yanayotarajiwa. Pengine wapinzani wana matatizo lakini je huyo aliyepo madarakani yuko safi? Kutokuwa safi kwa CCM ndiyo nguvu kubwa itakayoendelea kuwaweka hai wapinzani. Ujanja ujanja wa kuwapandikiza wanaCCM ndani ya vyama vya upinzani itafika mahali itastukiwa na kila mtu na hapo ndo vyama vya upinzani vitakapopata nguvu zaidi. Watu wa kudanganyika kwa kofia, pilau na khanga wanapungua mwaka hadi mwaka
 
Povu mbona lakutoka kumtetea Lissu ? Lissu ni kama kuku wa kuchora hafai kwa nyama, hawiki, hatagi mayai nk

Haya ya kuku yanatoka wapi? Jadili hoja kama huna hoja kaa kimya, hapa jamvini wapo watu wenye heshima zao usifikiri wote ni kama wewe
 
Sisi watanzania tulio wengi tunatanguliza kupenda mtu na sio mchango wake au hoja yake tukubali kwa uamuzi wa kukulupuka pale CDMA ilikosea kama tulivyo kulupuka kuunda ukawa nafikili hata tukiwapa nchi tayari wameshajiunga na boko haram wazee wakae watwambie tulikosea wapi tujirekebishe kabli 2015
 
Lissu bungeni anasema kuwa suala la hati ya muungano limekwisha yaani amekubali kushindwa!Lakini baada ya hapo mwanasheria huyu akachemsha.

Anasema muungano unawaonyesha waasisi wawili tu yaani Mwl.Nyerere na Mzee Karume huku ukiacha kuwatambua watu muhimu walioshiriki kuunda muungano kama vile Oscar Kambona,Job Lusinde,Hanga na Othman Sharrif.

Watanzania waambiwe ukweli wa kwanini watu hawa wamekuwa sidelined wakati mchango wao ulikuwa mkubwa.Bwana Lissu toa kwanza kibanzi kilichopo machoni pako kabla ya kutoa vibanzi vilivyopo kwenye macho ya wenzio.

Mbele ya safari masuala hayo hayo ya kuwa sideline watu yatakuja kuwaandama wote mnaowanyonga kisiasa vijana wenzenu wa Chadema kina Zitto Zubeir Kabwe,Habib Mchange,Dkt.Kitilla Mkumbo na Samson Mwigamba huku wakiwa wametoa mchango mkubwa sana kwenye chama cha Chadema na kwenye Taifa.

Badala ya kujenga mshikamano ndani ya chama cha Chadema,mnakimbilia kujenga mshikamano na vyama ambavyo havina hata nguvu ya kisiasa nchini!Yetu macho!
Hii inaonesha kwamba au Juliana Shonza anatumia ID yako au wewe unatumia ID ya Juliana! sasa jaaribu kusoma mawazo duni ya huyu mjinga mwezio na ulinganishe na haya ya kwako;
kumekuwepo na kampeni ambayo inafanywa kwa mgongo wa siasa, kampeni ya kumtuhumu na kumnyooshea kidole Baba wa Tafa Mwalimu Julius Nyerere kuwa amewasideline wapigania uhuru wengine wa nchi hii na wajenzi wa Taifa la Tanzania, ambao amewataja kwa majina takriban watu sita akiwemo Kassim Hangwa, Oscar Kambona, Mzee Ndugai na wengineo.

Kanuni za kawaida za Usahihishaji wa jambo, zinamtaka msahihishaji awe mtu safi ambae na anayelifahamu jambo analolisahihisha kwa undani wake. Itakuwa ni jambo lililokosa mashiko, na ukosefu wa busara kwa Mkosoaji kuona kibanzi kwenye jicho la mwenzake kisha akaacha boriti iliyokuwemo jichoni mwake. Ni kujitoa akili na kutofikiri sawa sawa kudhani kuwa unaweza kuwa na uhalali wa kuhamasisha usafi ikiwa unaishi jalalani

Mheshimiwa TUNDU anapata wapi uhalali wa kuhoji juu ya kuwasideline watu hao ikiwa ametokana na Chama na yeye ni mshiriki namba moja wa kuendesha zoezi la kuwasideline waasisi na wajenzi wa Chama hicho kwa manufaa yake binafsi na watu wa kundi lake.

Ni umbumbumbu na kujitoa fahamu kudhani kuwa anao uhalali wa kumnyooshea Kidole Baba wa Taifa kwa jambo ambalo halijui na wala hana ujuzi nalo, unamnyooshea kidole Muasisi wa Taifa kwa jambo ambalo msingi wake ni dhana (assumption)..?

Mheshimiwa TUNDU anapata wapi uhalali wa kuwanyooshea kidole na kuwashughulikia watu kama Zitto Kabwe ama Dr Mkumbo kwa tuhuma za kutengeneza kwa kutumwa na mtu..? watu ambao nguvu zao katika Ujenzi wa Chama hicho hazina mfano wake, nakumbuka kipindi ambacho Zitto alikuwa akilala na kuamka UDSM kuhamasisha harakati za kukijenga Chama kwa ku-recruit member wapya wasomi ambao watakuja kutoa mchango mkubwa ndani ya Chama hicho.,anatoa uhalali wapi..? nani anampa Mheshimiwa TUNDU uhalali huo..?

BOb Makani ni mmoja wa waasisi wa Chama hicho, lakini kwa kuwa hakuwa wa ukanda fulani na hatokani na familia fulani ameachwa na hazungumzwi hata kwa bahati mbaya, hakuna hata jambo moja litazungumzwa sio ndani ya vikao vya chama hicho, bali hata kwa hadhara ya wanachama wa chama hicho.,lakini kuonyesha kuwa Kiongozi huyo muasisi alikuwa sidelined ni pale ambapo hata alipofariki ushiriki wa Chama na viongozi wa sasa ulikuwaje..?

Ni aibu na umbumbumbu kuona kibanzi kwenye jicho la mwenzako hali ya kwako kuna boriti.

Dr Slaa, marando, Tundu Lissu ambao hapo awali walikuwa kwenye vyama vingine na baada ya kuchokwa kwenye vyama vyao vya awali wakakimbilia Chadema wanapata wapi uhalali wa kuwa-sideline waasisi wa Chama hicho, watu ambao mpaka leo wametunza kadi za vyama vyao vya awali kwa madai kuwa wametunza kumbukumbu kwa ajili ya wajukuu zao wanapata wapi uhalali wa kumfukuza mjenzi ambae kwa namna yeyote hakuwahi kujiunga na Chama chochote cha siasa kabla na kwamba nguvu zake zote za kisiasa amezitumia katika Ujenzi wa Chama..,wanapata wapi uhalali wa kusideline watu hawa..?

Mheshimiwa TUNDU LISSU has never been right to accuse any of the founders wa TAIFA hili.,na laana ya kuwatukana waasisi na kuwatuhumu kwa maneno ya uzushi na uzandiki itamtafuna milele.
 
Mabomu atupe Lema na mbowe halafu wasingiziwe wengine we akili yako ipoje bana.
Polisi wa CCM wanamuogopa Lema? au hawajui? kwanini wewe usipeleke ushahidi? au ndio ile tabia yenu ya kuzua mambo?
 
Pumba tupu,wasaliti hawawezi kuachwa kamwe! Toeni povu sana CDM itazidi kuwaumiza vichwa

wanafikiri CDM ni sawa ccm inayoogopa magamba yake, hasa hilo la Arusha ambalo limemkaba mwenyekiti wao mpaka anakuwa kigeugeu anakosa msimamo kama mkuu wa nchi poleni:A S 103:
 
Back
Top Bottom