Recent content by Ndoayangu

  1. Ndoayangu

    JamiiForums Tanzania Maamuzi gani nichukue dhidi ya ndoa yangu?

    ha why ?
  2. Ndoayangu

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

    Baadhi ya Manesi huwa ni issue night shift zinakuwaga balaa
  3. Ndoayangu

    JamiiForums Tanzania Nasubiri kumfumania mke wangu,naombeni ushauri wenu wanajukwaa!

    ushauri wako ndio kasheshe tena ,Shigongo ahusishwe lol
  4. Ndoayangu

    JamiiForums Tanzania Kuoa binti mwenye mtoto

    Sioni tatizo kama unampenda mwanamke muoe kwani mtoto ndio anazuia ndoa ? Endeleeni na paln zenu
  5. Ndoayangu

    JamiiForums Tanzania Maamuzi gani nichukue dhidi ya ndoa yangu?

    Nitajaribu kuonana na wataalam wa therapy kama mlivyonishauri
  6. Ndoayangu

    JamiiForums Tanzania Maamuzi gani nichukue dhidi ya ndoa yangu?

    sina hata FB account
  7. Ndoayangu

    JamiiForums Tanzania Maamuzi gani nichukue dhidi ya ndoa yangu?

    hapana Gemmy nimekuwa mama bora kwa family najali kuanzia mavazi malazi na chakula lakini tangu nakutana nae alikuwa na maisha yake hayo,na kama nilivyosema nimekuwa naishi kwa kuidanganya nafsi yangu
  8. Ndoayangu

    JamiiForums Tanzania Maamuzi gani nichukue dhidi ya ndoa yangu?

    sina ,ila nahitaji amani ya roho
  9. Ndoayangu

    JamiiForums Tanzania Maamuzi gani nichukue dhidi ya ndoa yangu?

    nipo Dar
  10. Ndoayangu

    JamiiForums Tanzania Maamuzi gani nichukue dhidi ya ndoa yangu?

    sio Story kakaangu muhusika mwenyewe ni mie ndio maana nimeomba msaada wa ushauri na maombi zaidi Nataguliza shukrani
  11. Ndoayangu

    JamiiForums Tanzania Maamuzi gani nichukue dhidi ya ndoa yangu?

    hapo nimeshajiuliza mbona yule aliyeniacha akaenda Ovasizi nilikaa nae confortabe kabisa
  12. Ndoayangu

    JamiiForums Tanzania Maamuzi gani nichukue dhidi ya ndoa yangu?

    Hapa naona mtihani
  13. Ndoayangu

    JamiiForums Tanzania Maamuzi gani nichukue dhidi ya ndoa yangu?

    thanks mamy nimejitahidi sana kufanya hivi sijui imani yangu ni haba??
  14. Ndoayangu

    JamiiForums Tanzania Maamuzi gani nichukue dhidi ya ndoa yangu?

    ndio maana naomba ushauri hata kama ni msaada kimaombi najua JF hakuna kinachoharibika
  15. Ndoayangu

    JamiiForums Tanzania Maamuzi gani nichukue dhidi ya ndoa yangu?

    The Boss nina kazi na mshahara mzuri tu ,ndio maana nikaomba kama kuna maombi nifunguliwe sijielewi na huu ni ukweli toka moyoni,Na kumwambia mme wangu simpendi kwa miaka yote hiyo hatonielewa hata kidogo
Back
Top Bottom