Recent content by Ndoa ya Mkeka

  1. N

    JamiiForums Tanzania Huyu mtanzania mwenzetu, tumsaidie

    Ahsante Kwa ushauri wako ndugu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Huyu mtanzania mwenzetu, tumsaidie

    Ni bint Ester Saki mkazi wa Kishapu Shinyanga anasumbuliwa na kidonda sehemu za USO anahitaji Masada wako akapatiwe matibabu. Kwa msaada pigs simu no 0768140069.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe anaishi sehemu gani Dar es salaam?

    Akiunganisha hapo lazima afike Mtwara.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Mwanajeshi na Polisi kutolipa nauli?

    Mwanajeshi akivaa combat haruhusiwi kuweka pesa mfukoni.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Secretary, nipo Arusha

    Kama upo tayari nina Stationary pia nahusisha public writter ipo Kwa Mromboo kazi siku 6 kwa wiki nitakulipa laki 1 kwa mwezi.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi (4) za kazi Ulinzi - Eneo la Viwandani Keko

    Askari wa miguu ndo wakoje tafadhal ufafanuzi.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Slaa hata mwenyekiti wa mtaa hafai.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwa Waliopitia JKT tu.....!!!!

    Tujadili escrow kwanza bilion 300? Bilion! Jamani bilion 300? Duh
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kituko hospital ya Kisiwani Kigamboni

    Mimi kama mwalimu sijapendezwa na uandishi wako.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kitimoto iringa

    Huko mtaani umekosa wala ngurue wenzio ukawauliza? Watanzania sijui tukoje
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mlevi amkojolea mama mkwe akidhani ni mkewe

    Story za kimbea mbea, mwanaume amka nchi inafisadiwa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Inahusu malezi ya pamoja

    Ngoja anye au akojoe uone anavyotafutwa mama yake.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa na mimi nakua na roho mbaya

    Ni kweli ndugu yangu,halafu kuna mmoja kanipigia simu leo anaenda kwa demu wake Nairobi.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa na mimi nakua na roho mbaya

    Nitatafuta njia nyingine ya kupata malipo toka kwa Mungu!
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa na mimi nakua na roho mbaya

    Katika jamii tunazoishi tumezoeshana hivyo kuna mtu/watu wa karibu ambao hua mnapeana ushauri msaada ktk mambo mbalimbali ya kimaendeleo,mtu anakwambia hana pesa wakati huohuo mipango yake ya pesa nyingi anaendeleza hapo utamuelewaje?
Back
Top Bottom