Recent content by ndivyo nilivyo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli basi sisi ni wajinga, iko siku litatugharimu

    Hatua tutachukuliwa ss makajamba nani huku sema ww uone!!! Utapotea ka kaushuzi ka yusufu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli basi sisi ni wajinga, iko siku litatugharimu

    Tuangalie maslai mapana ya taifa kinacho andikwa na mtoto wa rais pili ni mmbunge anaeingia bungeni!! Kupuuza kupo ila akiwa km kioo cha jamii hapaswi kuongea mambo hayo kwenye hadhara aonge ndani na mkewe ila hadharani kauli hizo hazijengi bali zinaanza kubomoa akili za watu ambazo nyerere...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli basi sisi ni wajinga, iko siku litatugharimu

    Inawezekana akaja kuwepo rais mchaga kizazi chetu kikiwa hakipo!! Unanishangaza kumbe kadhambi ka ukabila kanakutembelea, tukianza kuangalia na kuchaguana kulingana na makabila tutaanza kuchinjana na nyerere aliikemea dhambi hii kwanguvu sana! Mungu ibariki tanzania na watanzani tuepushie hawa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli basi sisi ni wajinga, iko siku litatugharimu

    Halfan kikwete anaweza kukujibu ccm milele hata akitokea malaika ni ccm tu!! Hapo umeongea propaganda ila sio ukweli!!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Ww ndie unaleta ukabila mbona wabongo mnapandikiza vitu ambavyo havipo km hipendi kitu acha kupandikiza mambo kwa watu tena vitu vibaya!!! Huo ni ujinga
  6. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Wengine njombe tayari wamebwa na polisi wanapiga mabomu kura zimekamatwa kashapigiwa magufuli
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nyie mnaosema Magufuli atashinda, juweni hili

    Hahahhaa!!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Apson Mwang'onda aendelea kumtapeli Lowassa. Amhakikishia kuwa ameshinda Uchaguzi na Ikulu ni yake

    Kila mtu maisha yake yako kwenye hatari naomba nikukumbushe, maslahi nahofia fisiem mmetumia pesa nyingi sana kwa kampeni mtazirudisha vp mkishindwa???
  9. N

    JamiiForums Tanzania Apson Mwang'onda aendelea kumtapeli Lowassa. Amhakikishia kuwa ameshinda Uchaguzi na Ikulu ni yake

    Ww umesema sio kura za watanzania mwisho wa maneno 25 jp
  10. N

    JamiiForums Tanzania Apson Mwang'onda aendelea kumtapeli Lowassa. Amhakikishia kuwa ameshinda Uchaguzi na Ikulu ni yake

    Kwan ww unafikiri itakuaje tume ikitangaza matokeo tofauti na matarajio yako
  11. N

    JamiiForums Tanzania Upinzani washinda uchaguzi Canada

    Kazi ipo tz ccm hawawezi kukubali kushindwa kirahisi wanaandaa kwa bidii bao la mkono!! Lazime tupige kura ili mabadiliko yaje
  12. N

    JamiiForums Tanzania UKAWA wakubali kuchemka

    Je ccm ni genge la nn?? Lazima ukubali kurekebishwa ukikosewa ukishupaza shingo utavunjika
  13. N

    JamiiForums Tanzania Star TV mjutie na mjifunze

    Huu ni mtazamo na propaganda!!!!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Star TV mjutie na mjifunze

    Bao la mkono halitakiwa kura ndio mwamuzi
  15. N

    JamiiForums Tanzania Star TV mjutie na mjifunze

    Sijui km unawasikiliza viongozi wa ccm na kauli zao juu lowasa!! Lowasa kajibu lipi??? Je?? Na ccm wameua wangapi tusio wajua??? Tusishabikie siasa za kuchafuana
Back
Top Bottom