soine
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,113
- 2,334
Mmmh wana CCM wenzangu tumekamatwa pabaya tuseme kweli ya moyo wetu. Nina kadi yangu CCM na chama changu kina sera nzuri but kwa this time tusahau nchi inaenda kwa upinzani. Ni vizuri kukipigania chama ila sio vizuri kukifia ilihali ni wazi kwamba utendaji wake umezorota kwa kiasi kikubwa hata wananchi wamechoka.
Hivi haiwaingii akilini wazee tuliokula kiapo cha TANU na kulelewa ktk misingi imara ya TANU na CCM ya 1980s leo hii wanatandika daruga na kuondoka au kusema kuwa kadi situpi na kwenye chama siondoki ila kura yangu ni kwa upinzani. Naipenda CCM na sera zake ILA SIKO TAYARI KUENDELEA KUIUZA NCHI YANGU NA KUENDELEA KUONA MNYONGE ANAENDELEA KUNYONYWA KILA SIKU - UKIENDA HOSPITALINI WATU WANALALA CHINI ILA VIONGOZI WA JUU HAWANA HABARI KILA SIKU KWAO NI KAMA SIKUKUU, KARAMU HAZIISHI TENA KARAMU NZITO NA NONO AT EXPENSE OF TAX PAYERS
WHY SHOULD I?
KUWA MWANACHAMA WA CHAMA FULANI HAKUKUZUI KUFANYA MAAMUZI SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI.