Kuna kitu kimoja nimekinoti kwenye maisha unaweza ukawa unaenda sana kanisani/ msikitini kila siki lkn mambo yako bado yakawa magumu sana, kwani kumpisha mjamzito, mama mwenye mtoto au kikongwe unapungukiwa nn acheni kuzuia baraka wamama/wadada kuweni na hekima na busara
Sent using Jamii...
Ukweli mtupu wadada wengi wa kazi wanaliwa sana tunda alafu huwa hawakatai kabisa sijui kwa nini au wanaofia kupoteza kazi mana watoto wengi wa wenye nyumba na baba mwenye nyumba upenda sana kujilia utamu kwa mabeki tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole kwanza kwa changamoto za maisha, kingine usikate tamaa maisha ni mapambano endelea kukaza mpaka kieleweke one day yes
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka ni uzembe wa taasisi usika huwezi kumwambia mtu kuwa hajalipa karo wakati mwanafunzi anapolipa ada lazima apeleke peinislipu ya benki isitoshe vyuo kunakuwa na mfumo wa kutunza kumbukumbu mimi binafsi naona ni uzembe tu wa watendaji
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.