How are you guys? Hope you are doing well.
Friends, kwa hizi miezi tatu mimi na bibi yangu tumekuwa na ugomvi sana, but kwa wiki tatu sasa tumemaliza hizo shida zote, we are happy as a family, and we are not fighting anymore.
Two weeks ago, siku moja sikua na pesa hata a single coin, nika...