Recent content by ndinasyo

  1. N

    Job opportunity

    Institution: Green bird college(mwanga- kilimanjaro) job title: Tutors no. Needed: 2 field: Procurement & supply levels: Certificate and ordinary diploma qualifications: Degree in procurement & supply deadline for application: 29/07/2015 for more information: 0685842682/0755688641/0658863001
  2. N

    NOKIA E72 utaniuzia kwa shilingi ngapi?

    130,000 if your serius tufanye biashara
  3. N

    Nahitaji laptop kwa bei ya shs 300,000

    habari za saa hii wanajamvi,nahitaji laptop ya shs 300,000 npo moshi iwe katka hali nzuri km unayo nitafute 0768049491
  4. N

    Grace Kiwelu, James Millya, Bananga, Kilewo, Msuya Kuwasha moto Mwanga 07 January

    Tuko pamoja makamanda maghembe waziri mzigo hana chake tena mwanga!
  5. N

    Inauzwa: Smart Samsung Led TV 32

    mkuu hiyo sio hasara,ni gharama ya matumizi ya tv ,depreciation cost,mm ntakupa 520k kwa hivyo vyote ulivotaja!
  6. N

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    kweli tz tuna safar ndefu km hzi ndo sifa za raisi ajaye!
  7. N

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Wana jamvi habari zenu nimekuwa nikifuatilia nikaona nitoe mtizamo wangu kuhusu huu upepo unaovuma kuhusu Edward lowasa,leo natoa sababu 5 zinazomfanya Lowasa asiwe na sifa za kuwa raisi wa nchi yetu 1.Elimu ikumbuke kuwa EL ndie aliyesimamia ujenzi wa shule za kata ambao hii leo...
  8. N

    Enzi ulipokuwa boarding

    daa mi nakumbuka kinyara sec vyoo vilikuwa vichafu ukiingia inabid uvue nguo,mi nkajifanya mbish nkazama nazo ile kutoka ckushtuka smell naingia clas ilikuwa ucku prepo,maduu wakaanza kulalamika harufu ya kimbo mi nasema mbna sisikii daa jamaa angu alikuwa jiran akantonya mwanangu umeharibu...
  9. N

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    hakinogi kama watoto wapo macho hawajalala
  10. N

    pata laptop kwa bei nafuu

    chukua 220 mkuu!
  11. N

    Kitabu cha ujasiriamali-MBINU ZA BIASHARA NA MAARIFA YA KUPATA PESA NA UTAJIRI

    wakuu anapouza hiv vitabua ndo ujasiriamali wenywe,tupeane sapoti.
  12. N

    Tangazo la Msiba Chadema Mbeya

    pole kamanda naamin huko aliko anafurahi kwamba unapigania watanzania tofaut na wachumia tumbo
  13. N

    kinyozi mwenye uzoefu anahitajika Moshi

    ndugu wan jf,tunahitaji kinyozi mwenye uzoefu na na anayependa kazi barber shop imefunguliwa hapa Moshi,kwa yoyote anayeona ana sifa basi awasiliane nami kupitia no:0768049491 ahsanteni.
  14. N

    Nyumba ya barafu dawayake jua/joto, CHADEMA inayeyuka...

    muulize yule binti wa miaka 14.
Back
Top Bottom