Grace Kiwelu, James Millya, Bananga, Kilewo, Msuya Kuwasha moto Mwanga 07 January

kidika

Member
Jun 22, 2014
49
22
Wakuu,

Tarehe 07.01.2015 kutakuwa na mikutano mikubwa ya Chadema kwenye wilaya ya Mwanga kwakuanzia kata ya Kirya kwenye vijiji vya Kiti cha mungu, Njia panda na Kirya ambapo kwenye kata hiyo ccm ni chama pinzani kuanzia vijiji mpaka vitongoji...

Kisha ngujini kwa aliyekuwa mjumbe wa tume ya katiba Dr.Mvungi ambaye alifariki...Chadema ni chama kiongozi hapa Ngujini kwasasa no more ccm Kwenye Ardhi hii ya Upare...

Wakazi wote wa Mwanga mnakaribishwa....
 
  • Thanks
Reactions: Gor

safi sana tuko pamoja piga kazi tuangushe hili jitu ccm
 
Wakuu,

Tarehe 07.01.2015 kutakuwa na mikutano mikubwa ya Chadema kwenye wilaya ya Mwanga kwakuanzia kata ya Kirya kwenye vijiji vya Kiti cha mungu, Njia panda na Kirya ambapo kwenye kata hiyo ccm ni chama pinzani kuanzia vijiji mpaka vitongoji...

Kisha ngujini kwa aliyekuwa mjumbe wa tume ya katiba Dr.Mvungi ambaye alifariki...Chadema ni chama kiongozi hapa Ngujini kwasasa no more ccm Kwenye Ardhi hii ya Upare...

Wakazi wote wa Mwanga mnakaribishwa....
..yes hata ktk kata ikoma rorya ccm ni chama cha upinzani
 
Anna Makinda, Pinda, mwakyembe, Sitta na magamba kibao yakienda majimboni kwao yanaripoti chadema yanalala kwenye vitanda vya ccm
 
Mi ntawasubiri kijiji cha kighare usangi ambapo maghembe na mzee pk wanahudumiwa na serikal ya M4C
 
Kama chadema imeweza kushinda kijiji cha kighare na vitongoji vyake anapotoka maghembe CCM imeisha, Daah makamanda hongereni sana
 
Wakuu,

Tarehe 07.01.2015 kutakuwa na mikutano mikubwa ya Chadema kwenye wilaya ya Mwanga kwakuanzia kata ya Kirya kwenye vijiji vya Kiti cha mungu, Njia panda na Kirya ambapo kwenye kata hiyo ccm ni chama pinzani kuanzia vijiji mpaka vitongoji...

Kisha ngujini kwa aliyekuwa mjumbe wa tume ya katiba Dr.Mvungi ambaye alifariki...Chadema ni chama kiongozi hapa Ngujini kwasasa no more ccm Kwenye Ardhi hii ya Upare...

Wakazi wote wa Mwanga mnakaribishwa....

Toeni hiyo laani nyumba, yaani ccm wanaona kuwa wao ndiyo wenye hati miliki ya taifa hili....
 
Ondoeni hawo madalali wa kisiasa siku hizi hawana dili, toeni hayo mapepo tumechoka kusikia kila siku tutafanya tutaleta tutatekeleza, toa wakae mbali na Umma.
 
Hahaha, huko ni kwetu, ila wapare ni wabishi kubadilika, ila at least we see bright light kwa mbali. Mabadiliko ni kama mgonjwa anayedungwa sindamo ya pumu, ngoma inasukumwa hata kwa dakika 5, ila ikiisha tu mgonjwa anaendelea na shughuli zake.
 
mimi binafsi natangaza nia ya kuomba ridhaa ya wananchi kwa uchaguzi ujao kama ntapewa ridha na chama changu ntaipindua ccm miguu juu mana kighare kijiji na kighare kata kote tumeshagawa kadi za cdm zipatazo 350 hivi na bado tunawataabisha sana miye pamoja na kamanda ray's ndoile ni homa ya maghembe na genge lake la wezi.
 
Yule alishinda kijiji cha kighare ni noma, huku tukiwa na mwalimu wa siasa mzee Samweli David msuya(Mdogo wa waziri mkuu mstaafu mzee Msuya) nimependa sana timu hii ya chadema, huku msuya,huku Kileo,huku mzee hamisi makelele huko ngujini ndiyo usiseme... Mwanga sasa Mwanga utaonekana.
 
mleta uzi hebu leta matokeo ya jumla ya uchaguzi wa serikali za mitaa katika jimbo zima.. nijuavyo mimi ccm imeshinda kwa zaidi ya asilimia 98...
hekaya hazitawasaidia kitu fanyeni kazi na muache bangi mburura zileeee.
 
Back
Top Bottom