Kafulila wewe nimiongoni mwa vijana wachache wanaojitambua. kuna watu wanaojifanya wanajua huku wakiwa hakui kama hawajui. mfano wabunge wote wabala kimsingi niwatanganyika lakini leo wanaukana utanganyika huu niusaliti tunaitaka tanganyika yetu
bado mimi naamini hapa chini ya jua hakuna aliye mkamilifu abilia yeyote anayetembea hapa juu ya uso wa dunia bado naamini hajakamilika hata mkubwa naye si mkamilifu kama tulivyo wa2 wengine lakini wanasheria watatusaidia
ubabe hautasaidi kuwalazimisha wafanya biashara wa mkoani mbeya wanunue hayo madude ya TRA kwalengo la kuwakomoa wafanyabiashara hao siyo haki kabisa kwa TRA mbeya kuwanyanyasa wafanyabiashara nawashauli makamanda wote hapo mbeya komaeni ili haki itendeke haki haiobwi haki inapiganiwa makamanda...
huwezi kuzuia maji kwa mchanga pia kila unapoyakaribia mafanikio lazima ukutane na vikwazo vingi makamanda tuko pamoja tumenza na Mungu tutamaliza na Mungu hawa wanao waweka ndani cku si nyingi watawapigia saruti
kamanda Lissu koma nao mpaka kieleweke. haya magamba yanajiona nchi hii nimali yao peke yao yanatumia nguvu nyingi kuliko akili kamanda waadabishe liwe fundisho kwamagaba nawapambe wao chezea Lissu wewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.