Ubaguzi dhidi ya wayahudi weusi upo...,unapigwa vita kwa nguvu lakini upo.
Inawezekana ikawa walidhani hivyo. Lakini hata kama walidhani hivyo kwa nini waliamua kumuua bila kumpa nafasi ya kujitetea wakati Hamas walijua eneo la askari wa Israel lilipokuwa ..na ndilo lilishambuliwa kwanza na...
Israel ina utaratibu wa kuwashawishi na kuwafanya watu wote wenye nasaba ya kiyahudi walioko maeneo mbalimbali duniani kurudi nyumbani Israel.
Moja ya masuala ambayo jamii ya Wayahudi wanajua kuyafuatilia na kuyashika ni kujua mtiririko wa historia yao na taratibu za imani yao.
Moja ya sehemu...
Nilichokisema kinamaanisha kwamba Tanzania imeunga mkono azimio la umoja wa mataifa linalotaka nchi husika wasitishe mapigano kuwezesha misaada ya kibinadamu kwa wahanga.
Sasa ukisema Tanzania imeumga mkono Palestina,tafsiri yake ni kwamba unaunga mkono madai na hoja zote za Palestina katika...
Watu wengi wamepotosha kwa kutokujua kuhusu kitendo cha Tanzania kupiga kura katika baraza la Umoja wa mataifa ijumaa iliyopita kuhusu mzozo baina ya Israel na Hamas/ Palestina. Nasema kupotisha bila kujua kwa vile kuna mmoja kwa mfano,jioni ya leo kafikia hatua ya kusema Tanzania imepiga kura...
Watu wengi wanapojadili mzozo kati ya Israel na Palestina,wanajadili wakiwa tayari wamegeemea upande fulani kwa sababu wanazozijua wao,huku wakipuuzia ukweli ulivyokuwa nyakati za zamani na sasa.
Kabla sijaeleza namna gani wahafidhina wanavyochochea mzozo kati yao,kwanza niainishe uhalisi...
Nyerere alisitisha uhusiano na Israel katika kutekeleza sera zake za kupinga ukandamizaji na uonevu wa binadamu wa aina yoyote ambao ungetokea mahali popote bila kujali rangi na itikadi.
Kwa mtazamo na msimamo wake huo ndiyo uliomfanya aiunge mkono Palestina kwa hali na mali kwa gharama ya...
Uko sahihi. Ni kwa vile tu ACT hawana uwezo na nguvu ya ushawishi Tanzania bara
Mayala,iko hiv
Mayala, haya masuala ya migongano(confrontations),mikutano,maandamano pamoja na majadiliano(engagements) ni sehemu ya mambo katika siasa...,na yote yanatumika kulingana na mazingira na wakati.
Zitto...
Swali lenye mantiki hili. Kama kuvaa mavazi ya aina fulani kungekuwa kunaongeza kitu katika maendeleo kiuchumi,basi ingetulazimu kuvaa mavazi ya watu wa maeneo fulani ili twende nao sambamba kimaendeleo.
Miaka ya sitini,sabini na themanini mwanzoni, wachina walitambulika zaidi kwa kuvaa suti...
Wadau,
Nafikiri wengi tunakubaliana kwamba kukuza uchumi ni njia rahisi ya kuepuka tatizo la uhaba wa dollar na mfumuko wa bei unaoambatana nao.
Hapa nitaeleza eneo moja la kisiasa kiutendaji lakini lenye athari kubwa sana kiuchumi kwa Tanzania...,eneo la viongozi wa mikoa.
Kama ilivyokuwa...
Tume ya Warioba hiyo ya 2013 haikupewa kazi ya kuwaelimisha watu ili waielewe katiba ya sasa,..yenyewe ilikuwa na kazi moja tu,kukusanya maoni ya wananchi kuhusu aina ya katiba wanayoitaka....,mathalan,tume ilisikiliza maoni ya watu kuhusu muundo wa muungano waliouhitaji kati ya muundo wa...
Naunga mkono hoja yako 100%...kwamba
Naunga mkono hoja yako kwa 100%....
Kimsingi,si serikali ya mkoloni wala hii ya sasa...zote hazijawahi kuruhusu wananchi wajitengenezee katiba inayotakona na mawazo na utashi wao.
Kwa serikali ya kikoloni kutoruhusu katiba....ni suala linaloeleweka kwa...
Wakati serikali imesema inaingia hatua ya pili ya mkataba katika uwekezaji bandarini Dar kati yake na DP world,ningependa watu wote bila kujali kama mnaunga mkono au kupinga maudhui ya mkataba, msome kwa umakini haya nitakayoyaandika hapa chini, mpime katika mizani ya bongo zenu,kisha mseme...
Wakati serikali imesema inaingia hatua ya pili ya mkataba katika uwekezaji bandarini Dar kati yake na DP world,ningependa watu wote bila kujali kama mnaunga mkono au kupinga maudhui ya mkataba, msome kwa umakini haya nitakayoyaandika hapa chini, mpime katika mizani ya bongo zenu,kisha mseme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.