Recent content by ndiefi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gari kutetemeka kwenye speed likifika speed ya 70kph hadi 80kph

    Mwamba upo sawa kbs lkn pia hata tairi inaweza kuwa shida
  2. N

    JamiiForums Tanzania Shuhuda: Hamas ni kama kuku wa Kienyeji ila hawa Hezbollah ni ' makuku ya Kisasa ' kabisa

    Mzee mbona wewe ndio kama muongo hv
  3. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel limesema limefanya “shambulio la kiufundi” mji mkuu wa Lebanon, Beirut

    Bado unaamini hayo maneno ya huyo waziri
  4. N

    JamiiForums Tanzania Shambulio linalosadikiwa kufanywa na Israel dhidi ya Hezbullah kwa kupitia PAGERS lathibitisha akili kubwa ya Myahudi

    Mkuu soma vzr na uelewe ipo hv, hezbolla walinunua hzo pagers na kuwapa wafuasi wake watumie na sio wananchi wa kawaida. So waliokufa na kujeruhiwa ni wana kundi la hizzibolla unless mwana kikundi awe amekaacha home watoto wanakatumia
  5. N

    JamiiForums Tanzania Shambulio linalosadikiwa kufanywa na Israel dhidi ya Hezbullah kwa kupitia PAGERS lathibitisha akili kubwa ya Myahudi

    Acha kututisha wewe, unaona msikiti tu mengine huoni si ndio
  6. N

    JamiiForums Tanzania Somo tunalolipata kutoka kwa taifa la Israel. Mwanaume hapigwi na mkewe, ikitokea, ni mwanaume kaogopa jela tu

    Na nyie hao hizbollah na hamas waambie wasimame kama wao wasisaidiwe na Iran alafu ndio tujue nani ni nani
  7. N

    JamiiForums Tanzania Pesa ina kaujeuri fulani hivi

    Najua unawaza ada tena inatakiwa hapo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Huenda siku za Putin zinakaribia ukingoni

    Is that only you know bro??? I request you to read more about rules and regulations of using Nuclear
  9. N

    JamiiForums Tanzania Harusi yageuka msiba baada ya fumanizi

    Fara sana wewe Nawanda ameingiaje hapa kwenye maelezo
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa mkoani kaniingiza mjini, naomba msaada wenu

    Kijana naona utoto bado unao mwingi, siku ukiwa na majukumu nahis utapunguza kujisifu
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyefanyiwa vitendo vya udhalilishaji ni Shujaa na mfano wa kuigwa na wanawake wengine

    Lakini nae apunguze umalaya huyo mtoto wa kike
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nimetembea mikoa mingi Tanzania nimegundua kuwa Dodoma kuna nyoka wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania

    Hizo aina zote unazozisema zinapatikana Tabora, karibu kwetu Tabora napo ujifunze ndio utajua huku ndio genesis ya hao wadudu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Marekani wajaribu Hypersonic weapons successfully

    Duh hii kamba ya dunia gani kaka
  14. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

    Hii kesi najua mwisho wake Dkt Nawanda atashinda ila amechafuliwa mno.
Back
Top Bottom