Recent content by ndeyo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nampenda Sanaa Ila Simuoi Sio Wife Material!!!!!! Mhhhhhh! Hayaaaaaaa!

    hivi mimi nashindwa kuwaelewa wasichana hivi kwanini mtu usijiweke kuwa mtu wa maana(wife material) unakuta mtu msichana mzuri kwa umbo lakini jinsi anavyo jiweka, mavazi yake ya ajabu, miinendo yake ya ajabu sio decent kabisa, sasa apo unakuata ntu anavutiwa na wewe kwa uzuri wako lakini...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa make-up mh yani...

    mmmmh kweli hii wiki wadada mmepokea mipasho kwelikweli, nahisi wiki ijayo ni zamu ya wanaume
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mfumo jike ni tiba ya mfumo dume?

    you are real great thinker. We waache wapigew kelele we wasijishughulishe na kusoma na kufanya kazi waendelee kuwategemea wanaume halafu wategemee kuondokana na mfumo dume
  4. N

    JamiiForums Tanzania mchumbawangu kanikimbia kisa napenda kumgegeda mara kwa mara

    kwikwikwikwikwi! u made my day, kweli jf never boring
  5. N

    JamiiForums Tanzania vitumbo kwa wanawake

    bia za bure na nyama choma
  6. N

    JamiiForums Tanzania LEMA anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa faida ya nani?!

    we unasema lema ndokasbabisha mwanafunzi afe wakati mwanafunzi kafa wakati lema akiwa hayupo. lema kaitwa kaja katumia nguvu nyingi na aushawishi kuwatuliza wanafunzi wakatulia kaja huyo mkuu wa mkoa akaanza kuongea mbovuy akazomewa sasa lema kausika vipi. wewe ndo wale mnaolipwa 10000 na...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ama kweli Lissu kakomaa kisheria AG ameishiwa pumzi

    kweli kikweti anajua kuwa ni bora ampe slaa uraisi kuliko lissu kuendelea kuwepo bumgeni, lissu kichwa cha sheria kinacho toa point hadi AG kafyata mkia.
  8. N

    JamiiForums Tanzania My Boyfriend Answered the Phone During Sex!!

    you are 100% right NIGGA, she stupid, sijua hawa wanawake watakuwa na akili lini!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda

    bora dada yaqngu umempa ukweli huyo malaya maana ni mpuuzin na limbukeni ambaye elimu yake haijamsadia, we utaanzishaje mapenzi na mme wa mtu na kungangania kutomuacha badala ya kutafuta wako uwe na familia yako
  10. N

    JamiiForums Tanzania Pigo jingine kwa JK: Mzee Mwinyi apigilia msumari suala la kuchinja

    kweli walisema utuuzima dawa, hongera mwinyi kwa busara zako. tatizo la haya maviongozi ya sasa hivi busara hayana yanachojua ni kuwa mafisadi kufisadi mali za huma hayajali hata kutafutia suluhu ya mambo sentive kwenye taifa na hayajali kama amani itatoweka kwani wao watakimbilia nje ya nchi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa Kwanza

    ni kawaida siku mpenzi wa kwanza wa mtu ananguvu sana hata kama mtu huyo ameoa au kuolewa still bado anapata wakati mgumu mno wa kumsahau mpenzi wa kwanza hivyo ndio maana ni rahisi sana mtu huyo kuisaliti ndoa yake. lakini hii inatokana na kuwa mtu anayetoa bikira yako spiritually huwa kuna...
  12. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Usalama wa Taifa unatengeneza Ushahidi katika kesi ya Lwakatare

    sasa mwigulu nchemba hayo mawasiliano na ludovick mtuhumiwa wa ugaidi yalikuwa ya nini? na hizo alizomtumia ni za nini? hayo maswali ya kujiuliza na siyo kuropoka tu bila kujadili hoja
  13. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA taifa vipande vipande! Soma barua hii ya Zitto

    iyo barua mnauhakika gani kama ni ya zitto?
  14. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawaelewi kabisa jukumu la Idara ya Usalama wa Taifa, wanaiweka kapu moja na vyama vya siasa

    sasa hivi hakuna usalama wa taifa bali usalama wa ccm, ccm wameona maji yanawafika shingoni sas wamebaki kutumia usalama wa taifa kisiasa ili kuwawezesha wao kubaki madarakani lakini nauhakika hawata weza kwani muda umewadia wa ccm kufa
Back
Top Bottom