Ignore this if you love satan but remember GOD is watching you!!!

Ignore this if you love satan but remember GOD is watching you!!!

Acha kutufundisha woga,weka uzi ujadiliwe,sio kutuogopesha mkuu!
 
Let's give Satan a headache and stress, please comment I LOVE YOU JESUS
Ignore if you love satan but remember GOD is watching you

Yesu akamjibu, "Mtu akinipenda atashika neno langu, na Baba yangu atampenda, nasi tutakuja kwake na kukaa naye''

John 14.23

Kama wote waliosema wanampenda Yesu na wanalishika neno lake, ni jambo jema. Kama hatulishiki neno lake hata tukisema tunampenda ni kufukuza upepo na kujidanganya wenyewe!
 
For God loved the world in this way: He gave His One and Only Son, so that everyone who believes in Him will not perish but have eternal life.
John 3:16
 
kwa hiyo mkiandika hivyo ndio mtaenda mbinguni msikubali kurubuniwa kwa mambo madogo tumieni maarifa hata yesu alikua mlimani shetani akamwambia jirushe mungu atatuma malaika lakini hakufanya sababu alitumia maarifa
 
Back
Top Bottom