Mabinti wa make-up mh yani...

Mabinti wa make-up mh yani...

Beauty+of+the+Day.jpg

hahahahahahaaa.....! Yaani nimecheka mpaka baaas!!!!!!!!!
 
naunga mkono hoja!toomuch wadada!
...si wengine tukiweka poda ya baby johnson akaa na wanja kidogo alahamdulilah!
Ss mambo ya kutinda nyusi halafu unapaka wanja cjui mdo nn ht hua cwaelewi! fake fake
 
Make up iwe kwa mbali sana ndo inakuwa shkopa yani m2 asi note kama umepaka.
 
mmmmh kweli hii wiki wadada mmepokea mipasho kwelikweli, nahisi wiki ijayo ni zamu ya wanaume
 
Back
Top Bottom