RPC Arusha tunaomba ingilia hili suala la traffic Police Arusha wamekuwa ni kero kusimamisha magari na kuomba hela.
Inakuwa kama hela ni haki yao uwe na kosa ama huna kosa. Arusha ni mji mdogo unaweza simamishwa mara tatu katika safari moja kila kona traffic wapo na wote wataomba hela.
Hii ni...
Kivipi kwenye mechi za majaribio? mpeni muda aelewane na timu na mfumo wa timu. Alikotoka walikuwa wanacheza counter attacking football hapa ni gegen press. Alivyo kuja Fabinho, Robbo walichukua muda sasa je
Kweli wageni ni wengi lakini sio Royal tour film wengi ni wageni walio cancel bookings zao 2020/21 sasa wame rebook. Royal tour faida zake zitaonekana lakini sio mwaka huu au mwaka kesho.
Tatizo hawa traffic police wamehalalisha kazi yao kuwa ndio namna ya kupata hela ya ziada yaani kamradi ka pembeni. Hapa Arusha atakusimamisha akukague tyre,fire extinguishers, triangle brake lights na plate numbers light anakuta vyote sawa hapo sasa ooh naombahela ya kula pumbavu zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.