Recent content by Ndesa Khan

  1. N

    JamiiForums Tanzania Harmonize kuja na Carnival akishirikiana na TVE

    Twende mbele turudi nyuma hakuna mwenye chuki na kondeboi coz tamasha lake likiwa kubwa hadi uko kwa wenzetu waka appreciate hio ni sifa kubwa kwa taifa ila, tatizo konde ana mamb meng na yote anataka kuyafanya kwa mmoja mfano ndan huu mwez kamsain skales na bado ibra anahitaj promo na wakat huo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu yazidi kupamba moto, fulana zenye picha yake kugawiwa kwa kila atakayejitokeza kumlaki

    Sema nyie wanafiki kweli yan kuna wakat nikiangalia thread za kumpa lissu moyo wa kuwa rais huwa nacheka sana nyie mpo kalibia kumi na mpo mtandaoni na kmbuka kuna mamilion ya watu uko vijijin wana mkubali mr magu kama mm so mnajisumbua sana
  3. N

    JamiiForums Tanzania Joseph Kusaga: Sijaanzisha Wasafi Media

    100% umeongea fact kubwa me nashangaa hili swala share kwa diamond limekua tatizo lina waumizia watu vichwa.mbn mengi alikuwa shareholder Wa coca cola lakin they don't talk
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu

    Ndugu zangu katika bwana natumai mu wazima,kama kichwa kinavyo jieleza nipo karibu na mgodi Wa acacia gold mining sasa kuna fursa za vijana zimetolewa kwa mwenye wazo la kampuni atapewa support financial so mimi hadi sasa sijapata wazo la kampuni naomba msaada wenu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ipi show kali ya mchana kati ya XXL,The Switch & Planet Bongo?

    Guys naomba leo tuondoe utata kuhusu hizi show mbili ni show gan Kali kwa sasa Tanzania maana kila nikiwasikiliza wote wanapondeana. Je, nani mkweli kwenu?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Joseph Kusaga: Sijaanzisha Wasafi Media

    Mm niliposikiliza nimegundua vitu hivi 1-wasanii wanaobaniwa hawana tatizo direct na kusaga Bali watu Wa chini ya kusaga 2-adam hampend diamond 3-anapenda watanzania waamini kuwa kile kituo mmiliki co chibu cjui akijua atafaidika nn 3-yupo emotional sana na vitu visivyo na maana.mfano issue ya...
Back
Top Bottom