Recent content by Ndenge Nini Papa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Namba za vitambulisho vya kupigia kura zinatafutwa sana

    Asante kwa taarifa natahadhari. Ngoja tufungue macho na masikio zaidi mitaani kwetu.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa is just too busy with party engagements

    I just hope you CHADEMA/UKAWA leaders know what you are doing because otherwise, and unfortenately it seems it is this otherwise, you have yourself to blem when you kill this strong movement and we wont forgive you for this. It doesnt make sense at all with your attemts to clear the air you end...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hoja ya kumpokea Lowassa CHADEMA iwekwe kando

  4. N

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Al-Huda lafanya uchochezi

  5. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Harusi yageuka matanga

  6. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Harusi yageuka matanga

  7. N

    JamiiForums Tanzania Kosa la Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo - Uwajibikaji wa pamoja

    Nikukosoe kidogo. Kwa taarifa yako uaskofu ni zaidi ya ukadinali. Na pia hakuna kiongozi wa kanisa katoliki wa nchi (yoyote ile si Tanzania tu) bali kuna kiongozi wa jimbo, naye ni askofu na si vinginevyo. Kwa hiyo kiutawala wa kanisa Katoliki Pengo na Ngalalekumtwa ni sawa (wote ni maaskofu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania CUF: Tunalaani fitina za kuigawa UKAWA zinazofanywa na wana UKAWA

    Mbona CUf mnakuwa defensive namna hiyo? Makubaliano ya UKAWA yanakiuka haki ya mtu ya kikatiba ya maoni? Sidhani. Kafulila made it clear kwamba yale yalikuwa maoni yake binafsi. Haya, unamuonya kwa kosa lipi hapa? Au kwa kuwa CUF wamesema? Kuhusu utafiti wa Twaweza, nakumbuka hata Dr. Slaa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

    Kwa hiyo Zitto ni gamba japo si pure kama Shonza na wenzake? Suala hapa hatutaki gamba lolote hata kama ni pure au si pure. Walishakula nyama ya mtu hawa. Kwani lazima afanyie siasa CHADEMA?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Picture of the Day: Pres. Uhuru Kenyatta meets with Min Bernard Membe and S.General A. Kinana

    Naona mnajifariji kwa kulipa panya kwa kwa simba. Mna mambo. Anyway ngoma droo. 1-1 aggregate. Kenya(kwa kuomba) kwa Ujerumani na Ulaya(kwa mwaliko)
  11. N

    JamiiForums Tanzania Katika Hili CCM Mtaanzia Wapi tena Kuinyooshea CHADEMA Vidole?

    Got this punky below the belt!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Lema: CCM wanafurahi sana Watanzania wakijadili Ligi Kuu ya Uingereza badala ya siasa

    Yes. Kama ambapo rais akimteua waziri ambaye wewe Simiyu Yetu unamuita (Nagu) ni mjinga. Maana yake aliyemteua nae ni ...... Malizia kama we ni exception katika hilo.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Zitto kajiharibia mwenyewe kwa kurubuniwa na CCM

    Mwl. Nyerere alisema kama masihara lakini naanza kuona ukweli wake ya kwamba kuna dhambi nyingine mtu akizitenda haachi, na kama kula nyama ya mtu, huwezi kuacha. Dhambi ya usaliti inaendelea kuwafuata wasaliti. Kina Mwigamba Kitila wameshawajibishwa tena na chama chao kwa makosa yale yale...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kama kawaida yao mawaziri wa Kikwete watofautiana hadharani, Mengi Arusha Kombora

    Kweli ccm vichwa maji! Linatoka kukumbushwa hoja iliyoko mezjni kuwa ni mawaziri wa Jakaya kutofautiana hadharani linajibu utumbo ule ule, eti Nagu ni waziri mjinga. Ni waziri wa ccm na kateuliwa na boss wako. Technically unatuambije kuhusu boss aliyemteua mjinga, achilia mbali mwanachama wa...
Back
Top Bottom