Nakumbuka kipindi fulani nikiwa darasa la tano nikiwa hivi mzee aliniagiza kwa rafiki yake sasa mimi nilikua napenda sana mpira so nikachukua zangu mpira wa makaratasi kuelekea alikonituma nikiucheza barabarani nikikimbia sasa kufika karibu na nyumbani kwa huyo rafiki wa mzee kwa bahati mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.