Nauliza tu: Wale mliokuwa mnatukatia vipande vya kufagia shule, hapo wizara ya ardhi kazi zinaendeleaje?

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Bila shaka humu mpo mliokuwa viranja primary au secondary. Tunazikumbuka juhudi zenu za kutukatia maeneo ya kugagia na tuliotoroka hamkusita kutuandika majina kisha kuyapeleka kwa teacher wa zamu.
Vipi huko wizara ya ardhi, nyumba na makazi changamoto ni nyingi au raha tupu?
Vipi wale viranja wa taaluma huko wizara ya elimu kukoje?.
Wale viranja wa afya na usafi vipi huko wizara ya afya?. Poleni na kazi.
Vipi wale mliokuwa mnachukua ujiko kwa football, taifa stars hapo pametulia?.
 
Muwe mnajitahid kuandikia mikono siku zingine hii habari ya kuandikia miguu mnatupa taabu ya kusoma miandiko yenu

Ngoja waje
 
hizo kazi za ukiranja nilikuwa nazikataa mkuu, kwanza haina mshahara, alafu uwe unaenda shule daily tena mapema sana
 
Bila shaka humu mpo mliokuwa viranja primary au secondary. Tunazikumbuka juhudi zenu za kutukatia maeneo ya kugagia na tuliotoroka hamkusita kutuandika majina kisha kuyapeleka kwa teacher wa zamu.
Vipi huko wizara ya ardhi, nyumba na makazi changamoto ni nyingi au raha tupu?
Vipi wale viranja wa taaluma huko wizara ya elimu kukoje?.
Wale viranja wa afya na usafi vipi huko wizara ya afya?. Poleni na kazi.
Vipi wale mliokuwa mnachukua ujiko kwa football, taifa stars hapo pametulia?.
kuna wale Scout walikuwa wakinisumbua kila nikichelewea, vipi huko wizara ya ulinzi natumai mpo poa.
 
Nilibahatika kua academic prefect advance. Aiseee debate ilikua mtu asipo udhuria jion nisimuone mess. Atakula alipo kua
 
Nasimama upande wa wale waliokuwa wanakaa mwisho wa darasa.
akili ziro, ubabe umejaa.
Ukiniandika kwenye wapiga fujo,
jioni utanieleza vizuri.
Umenikumbusha mbali mkuu,na Mimi nilikuwa napenda sana kukaa nyuma ya darasa bahati mbaya kidogo kichwan sikua chenga Basi walimu kila wakiingia class wananiamrisha nitoke nyuma niende mbele coz walikuwa wanahisi masela wanaokaa nyuma wataniambukiza utukutu wao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom