Recent content by Ndendende

  1. Ndendende

    Mke ,mume kuweka password kwenye simu ni dalili tosha kwamba mnaiba huko nje

    mwanamke kuweka password kwenye simu yake ambayo ulikuwa na uhuru nayo ni dhahiri shahiri huyo amefikia hatua mbaya sana ya kuchepuka. Maamuzi yake hayo yatahusiana kabisa na mfumo wa hovyo maisha yake, sumu ya kuchepuka ni mbaya na chafu sana wachache sana walitoka salama na kuache, wengi...
  2. Ndendende

    Mwalimu Maganga Japhet asimamishwa kazi kwa tuhuma za utoro kazini na kukaidi maelekezo ya viongozi wake

    Ndiye aliyekuwa Katibu Mkuu kabla ya Maganga.. Hawa ni maadui ndani ya CWT
  3. Ndendende

    Mwalimu Maganga Japhet asimamishwa kazi kwa tuhuma za utoro kazini na kukaidi maelekezo ya viongozi wake

    Kimsingi hawa viongozi wetu wa TSC na huyu Mkurugenzi wanatumika na Deus, Serikali wasichokijua ni kwamba Deus anawachezea mchezo mbaya na furaha ya Deus ni Kuona Mwamba huyo anatoka katika hiyo Nafasi.. SERIKALI INATUMIKA VIBAYA
  4. Ndendende

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    DRSSH30 MAMA SONGA MBELEEE NIA YAKO NZURI SANA
  5. Ndendende

    Hongera sana Rais Samia kwa nia yako njema

    Umerejesha Uhuru wa Wanasiasa hususani siasa za ndani ya CCM na Vyama vingine vyote. Ila bado watu wachache wenye sauti za kelele hawalioni na wanakuchafua. Umewasamehe wahuni wengi saana ambao walikuwa na kesi mahakamani na hakika walikuwa hawatoboa na wengine walikimbia nchi yao. Ila Mama...
  6. Ndendende

    Mtwara PCCB don't be overwhelmed by the Principal of Mtawanya College FDC

    Mkurugenzi wa Mtwara na Afisa utumishi maana yake watakuwa wanahusika moja kwa moja maana hii ya watendaji ni ngumu kushiriki wao bila ridhaa yao. Ndio utajua hii nchi inawadhulumati wengi sana.
  7. Ndendende

    Suala la Job Ndugai kujiuzulu na hatma ya muhimili wa Bunge

    Dogooo mpotoshaji haswaa Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
  8. Ndendende

    Kurekebisha au kuandika upya Katiba?

    Nakubaliana na hoja
  9. Ndendende

    Mtwara: Mkuu wa Mkoa atoa saa 48 za kukamilisha Madarasa 452

    Masaa 48 yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa ni sehemu ya Siku 60... Hivyo hizo 48hrs ndani yake kuna extention ya muda.. Huu ni ujenzi ambao unafuata taratibu zote muhimu.. Tuache kutoa kauli za kupinga kama haupo na haujaona kinachoendelea huku field.. Majengo mengi yamekamilika bado tairiz...
  10. Ndendende

    Rais Magufuli amefanya na anafanya makubwa ambayo nchi jirani wanatamani

    Niwe mkweli kabisa kwamba nasikitika sisi Watanzania ambao tunakusanyika katika majukwaa ya kisiasa na kushubudia kusemwa vibaya kwa Rais wetu Dkt. John Pombe Magufuli. Niwe mkweli kabisa katika hili, Rais Magufuli amefanya na anafanya makubwa ambayo nchi za jirani wanatamani ingekuwa wao huko...
  11. Ndendende

    Katani A. Katani anawatumia baadhi ya watumishi wa Serikali kuja Tandahimba kuwatishia na kuwasumbua wananchi

    Katani A. Katani ni miongoni mwa vijana waliowahi kuwa na dhamana ya ubunge katika jimbo la Tandahimba mkoani Mtwara. Miongoni mwa wananchi wamekuwa na kauli kwamba muda umefika wa kufanya maamuzi ya kumuondoa Katani A. Katani ambaye alikuwa miongoni mwa wabunge wavivu wa kufikiri na wavivu wa...
  12. Ndendende

    GE2020 Wizi wa kura za maoni katika mfumo mpya

    Walioshinda kwa kishindo wachunguzwe, majimbo ya Mtwara Vijijini na Nanyumbu. Mbinu ya kuwaandaa vijana maalumu ili wawasaidie wasiojua kusoma na kuandika imewapa ushindi wasiostahili. Chama Cha Mapinduzi ifanye namna ya kuandaa utaratibu mpya wa kuweka sifa za kielimu hasa kwa wajumbe...
Back
Top Bottom