Tuambizane: Wabunge waliohama vyama vyao ni wanauwezo wa kujenga hoja za kizalendo?

Ndendende

Member
Oct 8, 2016
48
125
Hapa namaanisha kwa namna yoyote ila Tanzania kama Taifa tunapitia katika wakati wa kipekee saana.

Tumelalamika saana miaka ya nyuma kwamba tunanyonywa na nchi haisongi mbeleee.. sasa tumempata Rais ambaye tunaona anavyotumia mazingira yaliyotengenezwa na watangulizi wake kuhakikisha tunapaaa kwa speed ya kipekee.

SWALI LA MSINGI!

Hawa wabunge wanaohamia kutoka vyama pinzani wote ni REAL POTENTIAL au ni kutafuta ugali wao tu kama ajira? Maana inaonesha wengine wamechungulia upepo wakaona hapana waunge tela ili wapate ugali kwa tiketi ya Ubunge.

Wanafahamu kwamba tunajukumu kubwa la:

1. Kwenda kuilinda Tanzania kwa nguvu.?
2. Kumlinda Rais wetu Magufuli John.?
3. Kulinda rasilimali zetu za nchi.?
4. Kushiriki na wananchi ktk maendeleo?
5. Kubuni na kuibua miradi ya jamii?
6. Kuacha alama ndani ya miaka mitano na
kustaafu kupisha vijana wengine?

Wanajanvi naomba kuwasilisha! Ikiwezekana taja na Majimbo ambayo unaona aliyerudi hatoshi katika hizk hoja 6 nilizozitaja ili tufuatilie kwa karibu huko majimboni.

Karibuni.
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
8,627
2,000

Ni matumbo yao tu wanataka kujaza, tuwe na akili tulete mabadiliko sasa ccm basi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom