Recent content by ndemeyejr

  1. N

    JamiiForums Tanzania Football Club Investments ni sehemu sahihi ya uwekezaji?

    Bado vilio vipo chini chini,so Gvt ikifatilia wahanga watajitokeza,then Amount ambazo wamepinga zitajulikana kwa uwazi.Hii utakuwa Moja ya Ponzi ambayo itakuwa imevunja rekodi kwa kutapeli hapa Tanzania.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Football Club Investments ni sehemu sahihi ya uwekezaji?

    Server imecollapse
  3. N

    JamiiForums Tanzania Football Club Investments ni sehemu sahihi ya uwekezaji?

    Tayari,vilio vimenza,Fic dead and Gone!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya FIC imenitapeli. Naombeni Ushauri

    Dead and Gone! FIC is Ponzi scheme
  5. N

    JamiiForums Tanzania Football Club Investments ni sehemu sahihi ya uwekezaji?

    Habari, nimeona taarifa nyingi sana na watu kujiunga katika uwekezaji wa kampuni inayoitwa F.I.C football Club Investments. Je, ni sehemu sahihi au ndo Kalynda mpya na Mr. Kuku Tena!
  6. N

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Books &stationary peupe au kuna maelekezo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutuma maombi HESLB

    Heslb mfumo ni shida kweli,hata control number kupata ni tabu kweli,Kipengele cha Guarantor inasumbua pia kutuma taarifa.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Watumishi wapata kicheko, Mhe. Rais Samia kaishafanya jambo lao - mishahara juu

    Mbona wengine daraja bado lilelile?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ada kwa IFM

    Habari Wana jamvi,Naomba kufahamishwa,Je ada kwa mwanafunzi aliyechaguliwa na tamisemi kujiunga na chip kwa ngazi ya diploma,Je ada ni tofauti na aliyeomba moja kwa moja Nacte?
  10. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Tukutan Kwa kampeni,hurrah chadema! Our next king Tundu lissu
  11. N

    JamiiForums Tanzania Suala la Bima za pikipiki

    Habari,kuna kero naona hapa Runzewe- Bukombe,Geita,baada ya waziri wa mambo ya ndani Mh.Kangi Lugola kutolewa kwenye Wizara hiyo na kukaliwa na Mh.George Simbachane,watu wa bima ,mfano Bumaco company wameanza tena kamatakamata ya pikipiki. Je,waziri wa sasa ameruhusu tena pikipiki kukamatwa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Usiombe kwenda Bayport kuomba loan balance

    Mimi nilifanikiwa kupata qoutation settlement baada ya kwenda mahakamani.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mikoa Kumi(10) iliyotoa wasomi wengi zaidi nchini

    masaai na wajaluo wapo nchi ngani?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    gari limeandikwa " Danger" tena wakaongeza ' inflamable'.
Back
Top Bottom