Recent content by ndembwike

  1. N

    Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

    Spea zake zote zipo,ni gari nzuri mno kama utaitendea haki kwenye matengenezo
  2. N

    Side mirror...

    Mbezi sehemu gani mkuu!
  3. N

    Shehe Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Alhaj Shehe Tafiq Ibrahim Malilo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo

    Hata kama sio suala la imani ,anapaswa kukumbuka kwamba marehemu hapaswi kudhihakiwa kamwe pia akumbuke kwamba na yeye siku yake inakuja
  4. N

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Kwa nini iwe siri? Ni utaratibu umewekwa kisheria hivyo kama unajua hukatazwi kushare info. Ninavyofahamu ni kwamba unanunua silaha halafu unaenda polisi unapewa fomu ya maombi ya kumiliki silaha kisha unaenda kwenye kamati ulinzi na usalama ya serikali ya mtaa ,,huko watakuhoji na kisha...
  5. N

    Mbunge Ezekiel Maige: Nafasi serikalini zilijaa ukabila. CRDB na TRA walijazana wachaga

    Alitakiwa kujibu suala muhimu LA upatikanaji wa maji Isaka na sio kuleta chuki kwa wananchi
  6. N

    Je, mlinzi/mpambe wa Rais akiwa nje ya majukumu yake naye huwa analindwa?

    Sio kweli jeshini wenye ulinzi ni kuanzia brigadier general na kuendelea. Sio Lt colonel wala colonel wote wawili hawana ulinzi
  7. N

    Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Agoro Anduru alikuwa anaandika stories nzuri sana.
  8. N

    Kumbe ndiyo maana Mkulu huwa anawapigiaga simu Clouds na kuwapongeza

    Acha uwongo nenda kafanye utafiti kwanza ndo uje na hoja,hayo unayosema hayawezekani ki uhalisia.
  9. N

    Trump awashtua wamarekani na kutoa FUNZO

    Kuna kitu nyuma ya pazia Jared ni Mmarekani mwenye nasaba ya Myahud na mpango wa Trump nikuendelea kuilinda Israel pia Jared Kushner ndio atakuwa mshahuri pia wa mambo ya Masharik ya kat,Kwa mazingira hayo Iran ijiandae
  10. N

    Mwakasege namkubali ila habari za kujifanya kaenda mbinguni na kurudi sitakubaliana na wewe

    Mwakasege hawezi sema kaenda mbinguni huo ni uongo yule ni Mwalimu wa kiwango sana
  11. N

    Bidhaa za EDMARK, ni kweli zinapunguza uzito?

    Nimewahi muona dada mmoja kweli alichange sana ila uwe Tayari kupoteza kifuniko ghafla na kila wakati
Back
Top Bottom