Recent content by ndeje

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kweli Tundu Lissu ana nguvu ya ajabu. Watu wapo uraiani kama huyu anaitwa Habibu mchange bado wanapambana nae akiwa Magereza

    Sidhani! Kwa wanasheria haiishi mpaka iishe, bila hivyo kusingekua na mahakama ya rufani.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Umeshafikiria shahidi Rais Samia akiwa anahojiwa na Tundu Lissu mahakamani itakuwaje?

    Jambo la wazi? Nahisi uliyemjibu analijua na analiishi ndio maana kakutaka umpe ibara ipi ya katiba. Kwa muktadha wetu Samia hajashitakiwa Kwa kosa lolote Ila ni shahidi tu kama mashahidi wengine, je ni Ibara gani ya katiba inayomlinda kutofika mahakamani?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Umeshafikiria shahidi Rais Samia akiwa anahojiwa na Tundu Lissu mahakamani itakuwaje?

    Inawezekanaje shahidi awakilishwe? Lisu hakuforesee hilo mapema?
  4. N

    JamiiForums Tanzania “Uchuuzi” Biashara zinazowalemaza Watanzania

    Upo sahihi, pia rasilimali watu ni wezi na wavivu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais, Brian Mundubile: Zambia siyo Tanzania, wanajaribu kuleta mbinu zilizotumika Tanzania

    HH ni kiongozi mzuri Sawa, lakini hiyo haimfanyi kuwa sababu ya kuchaguliwa tena na ndio maana kuna uchaguzi. Atakayechaguliwa anaweza kua mzuri zaidi au mbaya, hayo ndo matunda ya demokrasia.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kwanini mkuu! mbona mda bado upo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hata Mimi naamini hivyo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Fighting spirit ni jambo kubwa katika mpira ukiachana na ubora na mbinu

    Ukiacha ushabiki wako wa Yanga ila huu ndio uchambuzi wa Mpira. Mwenye kuelewa na aelewe.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Binti wangu hawezi kuolewa na mtu maskini - Elon Musk

    Aisee nimeshangaa sana. Kama JF great thinkers' home kupo hivi huko kwingine vipi?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Farhan Kihamu ana majibu yako wewe mfia timu

    Fikiria Fiston Mayele wale Yanga wanastruggle mpaka leo watu walikuja wakaweka pesa wakasepa nae
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa RAMADHANI ndio umefika ila please tuvumiliane

    Halafu utasikia waislam ni wadini sana mbona kipindi cha kwaresma wao hawakuanzisha thread Kama hizi
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Mfalme wa Nyika Simba Kibogoyo

    Fisi noma sana kamvalisha simba jezi ya yanga kajikuta anatoa matamko tu ya kumshusha azam wakati hana mikakati yoyote uwanjani. Mtaani kuna vijana wengi wenye vipaji wanasubili kusajiliwa Ruvu na mtibwa ambazo kuna tetesi hazina fungu la usajili.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya 10 kwa ubora wa uchumi Afrika

    Sijaelewa vizuri nahitaji ufafanuzi kidogo, kwenye maelezo yako unasema nchi ya Kenya thamani ya uchumi wake kwa sasa ni dola bilioni 64.688 mwaka 2016 na umeiweka namba 9 wakati huohuo unadai thamani ya uchumi wa Tanzania ni dola bilioni 45.899 mwaka 2016. Kinachonishangaza kwenye hiyo table...
Back
Top Bottom