Recent content by ndegemzungu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Gari yangu inajizima nini tatizo?

    betry ipo vzur tu na ni gari mpya
  2. N

    JamiiForums Tanzania Gari yangu inajizima nini tatizo?

    Nina gai aina ya Nisan Dualis nikiwa naendesha inajizima ghafla mpaka niizime kisha niwashe tena ndio inawaka, naomba kujulishwa tatizo lake ni nini?
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

    Wewe soldier acha kulialia makamanda hawalii piga kazi hayo mambo madogo yasikusumbue
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, kila ninapomaliza kula au kunywa mwili unavimba

    hili tatzo lilinianza mwaka jana mwishoni sijui ni tatizo gani hasa hospitali nishaenda zaidi ya mara moja dawa nimetumia za aina mbali mbali lakini wapi. yani mara nimalizapo kula chakula au kunywa kinywaji chochote kile kasoro maji tu mwili utaanza kuniwasha baadhi ya sehemu kisha sehemu izo...
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejiskia vibaya kutelekezwa porini na shemeji yangu usiku kuamkia leo

    unashangaa iyo nishawahi kuwapa lift mademu wa3 kufika mbele huko bajaji ikakwama nikawaomba washuke waniaidie kusukuma kidogo wote waligoma kuanzia siku hiyo sitoi lift kwa mwanamke hata iweje
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane

    wanataka figo yako hao wameshapata mteja sasa nenda wakaitoe tu hakuna namna
  7. N

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    mimi naishi huku huu mwaka wa 5 sasa ofcoz wako vzuri lakini hawana maajabu kwenye sita kwa sita nishapiga manzi zaidi ya 47 nikiwa huku lakin ni wawili tu ndio walijitaidi kwenye 6*6 wengine hakuna kitu kabsa wabongo madem zetu wapo vzuri sana tu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Jarida la Africa Intelligence laripoti uhusiano kati ya Rais Samia na Dkt. Kikwete

    sukuma gang inateseka sana ilishaaminishwa yenyewe ndio yenye nchi mungu anamipango bora kuliko sisi binadamu
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sioni mantiki ya wewe mwanaume ku-create Group la WhatsApp na kuwa add-ex wako wote

    Kama title inavyojieleza hapo juu huyu jamaa ni kweli amepita nao wengi sana lakini kwa huu ujinga alioufanya siwezi kumsapport amecreate group amewa add ma ex zake wote mbaya zaidi ameweka picha yake kwenye profile baadhi ya hao mademu wanajuana vzuri wengine wanaulizana unamfaham huyu jamaa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Rwanda anajificha kwenye kivuli cha kupambana na ugaidi kwa lengo la kuvuna rasilimali za Msumbiji

    Mozambican head of state, Nyusi, publicly stated that France was ready to support bilateral and multilateral partners in the fight against terrorism in Mozambique. This leaves no doubt about who is financing Kagame’s military adventure in Mozambique. France is the financier. Rwandan troops have...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kwenda kwa mganga kisa mwanamke?

    mimi niliwahi kwwnda kwa mganga akanipa dawa ya kuchoma huku nataja jina la demu kumbe ile sio dawa ni bangi alikua ameisaga vzuri sana aise nyumba nzima ilijaa harufu mshua alitaka kuniua kwa kipigo iyo siku
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kurudisha moyo kwa mpenzi wangu baada ya kurudiana

    jaribu kukumbuka mazuri yake pia naamini anayo mengi kuliko hayo mabaya yake pima halafu yafanyie kazi mazuri yake hakuna binadam aliyekamilika hapa duniani acha akili za kitoto
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

    acha roho mbaya fundi yupo uchebe
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

    nashkuru sana [emoji120][emoji120]
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

    Sio kwamba najifanya mlokole naheshimu ndoa yangu pia naheshimu sana urafiki wetu ni vzuri kuwekeana mipaka
Back
Top Bottom